Club raha leo shooooowww

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,438
4,149
Nani anakumbuka hii k2? Na Eid hii mida hii RTD enzi hizo.. Wacha kabisaaaaa
 
Kwa jina naitwa king kong wa 3 natokea kampuni ya viatu bora napenda kutuma salamu kwa boflo,adakiss,Dajane na bila kumsahau Elizabeth Dominic club raha leo shooooooooooooww!!!!!
 
kwa jina naitwa gfsonwin natokea pande za tondoroni ntuma salam za eid kwa rafiki yangu mpenzi cacico, kwa mchezaji mwenzangu mahiri sana wa club ya chicago Asprin pamoja na LPD, kwa mpenzi wangu wa moyoni Kaizer. ujumbe LPD wakumbushe ule wimbo wa MAKUMBELE sijui umeimbwa na nani vile, club raha leo showwwwwwwwwwwww!
 
Last edited by a moderator:
Hahaa... Mmenikumbusha mambo ya radio station moja tu. Hiki kipindi nakumbuka kilikuwa jumapili jioni. Ila nilikuwa naona kama wanapiga makelele tu,nahisi nilikuwa sikielewi.
 
Naitwa Makumbele bin Matuyuku wa Tazara Magorofani. Napenda kutuma salamu kwa Amigo Bananyenye akiwa safarini Uingereza, Stigo Mabruki wa Club ya Saigon, Seif Mataurubai wa Lumumba na Aisha Mwanakwetu wa Temeke Wailes. Naomba unipigie wimbo wa Georgina mwimbaji simkumbuki vizuri.
Club Raha Leo shoooooooooooooow!!!!!

Umenikumbusha mbali sana.
 
long time jamani mwe,nakumbuka kunakuwa labda wafanyakazi wa taasisi au idara wanakuwa live na bendi fulani!halafu kina yakhe tunawasikiliza redioni,mwe tumetoka mbali!enzi za akina uncle j nyaisanga,betty chalamira,charles hillary,mchata,na wengineo wengi ndo watangazaji wa RTD!enzi hizo radio ni moja tu!RTD
 
Hahaa... Mmenikumbusha mambo ya radio station moja tu. Hiki kipindi nakumbuka kilikuwa jumapili jioni. Ila nilikuwa naona kama wanapiga makelele tu,nahisi nilikuwa sikielewi.
Inaonekana ulikuwa mdogo sana. Hiyo ilikuwa ni Live band ilikuwa ni raha sana. Ingawa wafanyakazi wa makampuni walikuwa wanalikwa, wakazi wa Buguruni walikuwa Wanazamia sanaaaa. Klab raha leo shoooooooooo&
 
Nakumbuka kwenye kutambulisha bendi ilikua kila mwanamuziki lazima aonyeshe mbwembwe zake,kulikua na utaratibu wa kadi zina namba ikitajwa namba yako unatuma salamu! Dj lete vituuuuuu! Club raha leo,shooooooow!
 
'''Naitwa BabaDesi kutoka Mbezi Mwisho. Namsalimia msimamizi wa kipindi Uncle J Nyaishanga na Michael Katembo (RIP) na Wanachama wote wa Klabu ya Great Thinkers ya mtaa wa Jamii Forums!! Naomba MK Group wana Ngoma za Magorofani chini ya Kasongo Mpinda 'Clayton' wanipigie Wimbo wa 'Maumivu Makali', IIDDIII SHHOOOW???? SSSHHHOOOOOOOOWWWW.....!!! :whoo::whoo::whoo:
 
Dah..!! Kweli tumetoka mbali jamani mwe!!?? Haya nami naitwa SALOK bin nanii wa kulekule, zangu za eid zende kwa jf members woote, espesheli wana chit chat! Club raha zamani shooooowwww!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana ulikuwa mdogo sana. Hiyo ilikuwa ni Live band ilikuwa ni raha sana. Ingawa wafanyakazi wa makampuni walikuwa wanalikwa, wakazi wa Buguruni walikuwa Wanazamia sanaaaa. Klab raha leo shoooooooooo&

Mtangazaji Enock Ngombale...
 
kwa jina naitwa Gang Chomba natokea popote inapopatikana Mirungi...
club raha leooooo Shoooooooow
Salam zangu kwa siku ya leo ziwafikie Ndugu zangu Janjaweed, Limonga Justin Limonga, Balantanda, bokoman Mkongo man, Belo, wajadi fundi, Ndetichia, chivalavala S. Chivalavala, Myao wa Tunduru, mwalimu Mashaka Sabuni, Companero, Thomas Mushi Kimboka, Figga Nigga, Jangala Kilongosi, Matola, Zacharia Ndemfoo na Mzee Mwanakijiji akiwa safarini kuelekea kijiji cha Msoga kuwaamsha waliolala.
ujumbe nawaambia Binzari ni kiungo, lakini hakisajiliwi na timu...

Club rahaaa leoooo shoooooooooooow
 
Naitwa mama wa mndenyi natuma salamu zangu kwa wafuatao Theboss. Kongosho . Mwali. Aspin. Ruttasho.... Mwali. Mtambuzi. Cantalisia. Mia .Excellent. Bishanga. Rejao. Katavi. Elizawategeta. Arushaone. RR. bila kumsahau wa ubani wangu Mzizimkavu. ujumbe tukumbukane. Jf shooooooooow
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom