Clouds Media vs Times FM na msiba wa Ngwair

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,383
Msiba wa jamaa umeonekana kama kuna kitu fulani kimejificha,nilisikiliza times leo hasubuhi nikasikia wanatangaza namba za simu ilia yeyote mwenye chochote aweze changia,pia nimesikia wanakamati kwa ajili ya mazishi ya ngwair kuna prof jay,jide,tid na wrngine nimewasahau,clouds sasa iv tena nasikia kuna wema sepetu,tid,jmoe,mez b na wengine wakisisitiza mchango inakuwa kama mashindano fulani ivi,sasa sijui nan apa ni muhusika zaidi na mambo ya michango au yote sababu ya??
 
Clouds washawapiga bao hao wengine, naona washamtuma Ayo huko bondeni akakamilishe taratibu zote huko...
Kibongobongo mtu akivuta ndio watu huonesha kuguswa lakini akiwa hai humtenga...
 
times fm 100.5 moto ya kuotea mbali. hao jamaa ndo walidhamini vinega katika show zao. hawa jamaa ni wanaharakati. hamna mtu yoyote utakaye msikia akiwalaumu. big up times. mia
 
Clouds washawapiga bao hao wengine, naona washamtuma Ayo huko bondeni akakamilishe taratibu zote huko...
Kibongobongo mtu akivuta ndio watu huonesha kuguswa lakini akiwa hai humtenga...

ruge alishasema yeye anaangalia fursa, kila kitu fursa. mia
 
ruge alishasema yeye anaangalia fursa, kila kitu fursa. mia
Clouds na Times wote ni wafanyabiashara tu ambao wapo kutumia fursa na si vinginevyo! Times wanachofanya hivi sasa ni kama kutaka ku-compete na Clouds; anyway wataweza lakini bado sana.....!! Tayari Clouds wameshatengeneza network ya kutosha!
 
Jana mtandao wa tigo uli-jam kwa mafuriko ya michango. Cha ajabu bado EATV jana usiku walikua wanaendelea na uhamasishaji live.
Hivi hizo hela nani anazi audit? au ndio fursa?
 
Hakika sasa hayo ni mashindano na amini ndugu yangu kuwa kuna kamati mojawapo itapiga hizo michango we subiri uone

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Haha..kuna wengine kina ruge walijipa adi tenda za kupika kweny msiba wa kanumba
 
Duh!..

Hawa jamaa ni janga naona dogo kaenda kutengeneza kipindi maalum aje wakifanyie biashara kama Kanumba promo ya

kipindi mwezi mzima na kuomba wadhamini!..

Kwakweli 88.5 ninyi ni mashwaini!..

Clouds washawapiga bao hao wengine, naona washamtuma Ayo huko bondeni akakamilishe taratibu zote huko...
Kibongobongo mtu akivuta ndio watu huonesha kuguswa lakini akiwa hai humtenga...
 
Hivi wakati marehemu alipokuwa hai na anadevela hawa wote walitoa msaada gani kumsaidia marehemu aachane na alosto ya bwimbi..? Hebu oneni aibu jamani.. Mwacheni marehem apumzike kwa amani maana nyote mmehucika kwa njia moja ama nyingine..

NB: kama kweli mna uchungu muwasaidie hawa wanaotajwa kudevela sasa.. Muwataje na mapusha wanaobana bwimbi kwa mateja..
 
daaah...dunia adaa..
ulimwengu shujaa...
mtu kadanja...
raia oyeee..
wanakula raha tu..
pumbavuuuuu
 
Back
Top Bottom