warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,392
Msiba wa jamaa umeonekana kama kuna kitu fulani kimejificha,nilisikiliza times leo hasubuhi nikasikia wanatangaza namba za simu ilia yeyote mwenye chochote aweze changia,pia nimesikia wanakamati kwa ajili ya mazishi ya ngwair kuna prof jay,jide,tid na wrngine nimewasahau,clouds sasa iv tena nasikia kuna wema sepetu,tid,jmoe,mez b na wengine wakisisitiza mchango inakuwa kama mashindano fulani ivi,sasa sijui nan apa ni muhusika zaidi na mambo ya michango au yote sababu ya??