Zitto
Former MP Kigoma Urban
- Mar 2, 2007
- 1,562
- 10,883
kaka Zitto kwann jana kwenye mkutano wako ulitoa salamu za TL badala ya CHADEMA if you real need strong institution? hasa kipindi hiki ambacho uchochezi na rubbish ni mingi?
Mwaka 2017 Lema alihudhuria mkutano wa ACT Wazalendo Arusha na kutoa salaam zake yeye kwetu kwanini haikuwa nongwa?
Mimi nimekwenda safari, nimemwona Lissu kumsabahi. Narudi nafanya mkutano wa chama nawapa wajumbe salaam za Mgonjwa wa Taifa zima, shida nini?
Anayefanyia propaganda hili ni mpumbavu na anayeamini hizo propaganda pia mpumbavu.
Narudia, hakuna coalition ya mtu na mtu. Coalition ni ya Vyama. Sisi ACT tunataka coalition na tutafuata Sheria. Kama wenzetu wanadhani wanaweza kuikabili CCM peke yao sawa. Lakini sisi tunaamini ushirikiano utakuwa na faida kwa sisi sote. Chama chetu kimejiandaa kwa yote lakini dhamira yetu ni kushirikiana tena kuanzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa