rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,413
Napenda kwa moyo wote kutuma pongezi zangu kwa Clouds FM, tukumbuke wametutoa mbali, walikuja kipindi cha giza na kutuletea nuru kwenye ulimwengu wa habari.
Kuna thread zimekuwa zikija hapa ku criticize Clouds FM, naomba sana tujifunze kusifia kazi zetu zinazofanywa na watanzania wenzetu, hata wakishuka kiwango tuangalie jinsi ya kuwainua.
Clouds, kuteleza sio kuanguka! Nyie mnao-criticize radio zetu subirini za wakenya zinakuja mzipongeze.
Mungu bariki Clouds FM