clouds fm mpo juu

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Napenda kwa moyo wote kutuma pongezi zangu kwa Clouds FM, tukumbuke wametutoa mbali, walikuja kipindi cha giza na kutuletea nuru kwenye ulimwengu wa habari.

Kuna thread zimekuwa zikija hapa ku criticize Clouds FM, naomba sana tujifunze kusifia kazi zetu zinazofanywa na watanzania wenzetu, hata wakishuka kiwango tuangalie jinsi ya kuwainua.

Clouds, kuteleza sio kuanguka! Nyie mnao-criticize radio zetu subirini za wakenya zinakuja mzipongeze.

Mungu bariki Clouds FM
 
watanzania hatupendi kufuata utaratibu hata siku moja .... mods wameandaa utaratibu mzuri sana wenye kuonyesha categories and sub categories za different forums .... sasa hii thread yako ya clouds umeileta humu kufanya nini ... matokeo yake ni kuwahangaisha mods tu...

peleka hii thread yako kwenye forum husika
 
Napenda kwa moyo wote kutuma pongezi zangu kwa Clouds FM, tukumbuke wametutoa mbali, walikuja kipindi cha giza na kutuletea nuru kwenye ulimwengu wa habari.

Kuna thread zimekuwa zikija hapa ku criticize Clouds FM, naomba sana tujifunze kusifia kazi zetu zinazofanywa na watanzania wenzetu, hata wakishuka kiwango tuangalie jinsi ya kuwainua.

Clouds, kuteleza sio kuanguka! Nyie mnao-criticize radio zetu subirini za wakenya zinakuja mzipongeze.

Mungu bariki Clouds FM
CCM imetupatia uhuru au vipi??, au niseme ilisimamia tanzania kupata uhuru, Na wanapokosea wanakosolewa tu hata hakuna kufumba macho, so Clouds kukosolewa ni kwa sababu ya mambo ambayo watu hawakubaliani nayo!, Zikija za wakenya Tutazifanya hivo hivo zikikosea!

Cha mwisho angalia Sehemu ambayo unapost thred yako au vipi??
 
nahisi kuna watangazaji pale ambao ni gamba wanaopaswa kujivua gamba waende redio uhuru! huku wataiua!
ni mzamo wangu 2
 
Huku ni kukosa busara na mtazamo wa kimaendeleo. Nilitumaini ya kwamba kwa mtu anayetaka kusonga mbele angeweza kuwa makini zaidi na maoni ambayo ni very critical yanayotolewa na wana JF ili kuweza kuboresha utendaji wa Redio Clouds.

Nadhani huu ni mtazamo finyu sana na if you want to stay in the market long enough my friend, there is no way that you can run away from criticism. Because through constructive criticism that is when we do change and improve. Kama umezoea kusifiwa kijinga then forget kupata sifa hizo hapa JF. We are here to make things better and better and not to let you stay where you are or distort the thinking of the society by distributing false information or kuwa na Radio yenye watu wanaochekacheka tu na kuongea vitu visivyo make sense.

I remember a couple of weeks ago, one of the JF member came up with a very good suggestion on how your Production manager can try to visualize the future. Sit down and try to brainstorm those views and then implement what is implementable.

Remember JF ni forum pekee unayoweza kupata maoni ambayo ni frank na free of charge. Other Institutions or companies have to pay someone to conduct a survey ya kama wanakubalika kwa customers wao na ni vitu gani wafanye ili kuboresha huduma zao. Sasa wewe unapata opportunity like this lakini bado unahisi kuonewa au tuna wivu nawe.
 
Back
Top Bottom