Clatous Chama ni mchezaji mzuri. Mimi sipendi aendelee kuwa Simba

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Huyu jamaa,

Natamani aondoke Simba. Simpendi kwa kuwa ni mchezaji mzuri. Akiamua huwa anafanya mambo ambayo ni ngumu kuelezea.

Ninamwangalia hapa sijui tungempata Yanga huyu ingekuwa moto zaidi.

Ni bonge la mchezaji.
 
Chama hapati namba Yanga, tafadhali.

Kiufupi kabisa hakuna mchezaji yeyote wa Simba anayeweza kupata namba kwenye kikosi cha kwanza Yanga.
 
Chama ana avarage perfomance nzuri hili linambeba ,ila Pacome akicheza misimu mingi Bongo record za Chama anazivunja zote... Shida ya Chama kwasasa uwezo wake unaonekana kwenye timu dhaifu.
Safi unajua mpira.
 
Si alienda berkqne akakosa namba au hukumbuki?
Unamjua shevchenko, unamjua juan sebastian VERON, unamjua fernando torres wewe, waulize manchester walichokipata kwa alexis sanchez, Ricardo kaka real madrid pale..
 
  • Thanks
Reactions: K11
Huyu jamaa,

Natamani aondoke Simba. Simpendi kwa kuwa ni mchezaji mzuri. Akiamua huwa anafanya mambo ambayo ni ngumu kuelezea.

Ninamwangalia hapa sijui tungempata Yanga huyu ingekuwa moto zaidi.

Ni bonge la mchezaji.
Vipi kwa Asec Chama si alicheza? alifanya haya alio yafanya leo? Huyo Chama ni Bora kwenye timu dhaifu, nangojea uboea wake kwenye Robo fainali
 
Naona wa simba mmejinyoa na kuvaa usemaji wa yanga ni kama genta mzee wa kubadili id,, id ya genta inamfuata kwenye id mpya hahahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom