Civil Engineering job

samuel faraj

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
1,326
1,265
Msaada jamani.

Mimi ni Graduate Engineer (Civil Engineering) natafuta kazi yeyote mwenye msaada kwa hili naomba anisaidie.

Natanguliza shukurani!
 
Kijana anza kanza kuomba kujitolea kwenye makampuni yenye uzoefu wa muda mrefu huku ukiendelea kutafuta kazi sehemu nyingine hii itakujengea CV nzurii
 
Kumbe hutafuti kazi unatafuta mshahara, edit post yako sasa
 
Mkuu hao vietel wanatoa mshahara laki4 regardless ya professional yako nishawafatilia

Wewe ndiyo huna vision kabisa. Watu walianza na posho ya elf5 kila siku na hiyo haina mshahara wala extra duty ok? Walipata exposure, experience, wenyeji wa mazingira etc. Mwaka tu baadae leo wanapiga 2.5m take home. Sasa kaa hapo na mavyeti yako ukisubiri huo mshahara mkubwa unasikia mdogo wangu?
 
Nimekuelewa mkuu
 
mshahara wenyewe hujawahi pata ndo kwanza unaanza kazi alafu unaanza kudharau laki nne................

Maisha kila Mtu na msimamo wake bro usitake unachokiamini wewe na mimi nikiamini ata professional society zetu hazitaki engineer uchukue mshahara wa laki 4
 
Haiko hivyo mkuu, unless hauko serious. Wakati mwingine unaweza hata uko registered na erb na bado usipate mshahara unaotaka wewe. Mimi nilianzaga na 350 tu.
Think twice.
 
Maisha kila Mtu na msimamo wake bro usitake unachokiamini wewe na mimi nikiamini ata professional society zetu hazitaki engineer uchukue mshahara wa laki 4

Uko society gani wewe? Unatoka shule leo unataka mshahara wa proffesionals wakati wewe ni graduate? Angalia scales za mishahara za serikali ndipo akili itacharge
 
Uko society gani wewe? Unatoka shule leo unataka mshahara wa proffesionals wakati wewe ni graduate? Angalia scales za mishahara za serikali ndipo akili itacharge

Mkuu hizo professional society umeambiwa hazijaweka rate kwa graduates?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom