Civil Engineer natafuta kazi

iamwhoiam

Member
Jan 10, 2012
20
6
Natafuta kazi yoyote ya civil engineering kwenye kampuni yoyote. Mimi ni graduate kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam. Ambaye anaweza kunisaidia kuhusu hili jambo tafadhali ni PM tuongee vizuri.
 
Ipi kati ya hizi upo vizuri
Water resource
Transportation
Structural

Kwa nia njema tu ili tujue ni wapi utafit
 
Jamani pengine huwa najiuliza hivi hizi pm huwa kweli tunazitumia kwa kusudio lake hasa??, maana mambo mengine ni kwa ajili ya wengi, lkn cha hajabu mtu anataka um p.m, mmh!
 
Jamani pengine huwa najiuliza hivi hizi pm huwa kweli tunazitumia kwa kusudio lake hasa??, maana mambo mengine ni kwa ajili ya wengi, lkn cha hajabu mtu anataka um p.m, mmh!
Usitake kusafiria nyota, katangaza mmoja kuomba kazi, that why kaambiwa ampm!!! nawewe ukitangaza utajulishwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom