Cindy wa EA Connect Anaboa ile mbaya

Mambo Jambo

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
1,100
81
Hii Kitu tulikuwa tunaijadili jana lakini kutokana na sababu zakiufundi imepotea.

Huyu mwana dada Cindy "rasta" mtangazaji wa kipindi cha EA connect kinachorushwa na EATV hana uwezo wa kukiongoza, anaonekana upeo wake katika mambo mengi ni mdogo na mara nyingi maswali yake hayana maana na hayaleti changamoto yoyote kwa vijana wa East Afrika...kipindi kinaboa sana..

Tuendelee....

MJ
 
mie nimesahau hapa nilikoment nini ingawa Topic nimeikumbuka :)

sijui kama anaboa kweli ingawa kuna ndugu mmoja alisema rasta za ni chafu sana lol
 
mie nimesahau hapa nilikoment nini ingawa Topic nimeikumbuka :)

sijui kama anaboa kweli ingawa kuna ndugu mmoja alisema rasta za ni chafu sana lol

Yah hii kitu tulikuwa tunaijadili jana hapa, ni YoYo alisema alikutana naye..

Mi nilikuwa sijui kama bado yupo na kile kipindi,
 
mie nimesahau hapa nilikoment nini ingawa Topic nimeikumbuka :)

sijui kama anaboa kweli ingawa kuna ndugu mmoja alisema rasta za ni chafu sana lol

FL1 bana mkiamua kumwaribia mtu mnakoma nae hadi vitu personal kabisa... mnaboa bana...
 
Tuangalie pia mazuri yake na kama anaboa tusimtukane au kuleta personal issue zake nyingine humu, tumrekebishe awe the best man that she can be....
 
Yah hii kitu tulikuwa tunaijadili jana hapa, ni YoYo alisema alikutana naye..

Mi nilikuwa sijui kama bado yupo na kile kipindi,
yah man...na meno yake yana rangi ya hudhurungi atakuwa anavuta fegi sana....anyway watangazaji wa tz mbona karibia woote hawana upeo......wengi hamnazo
 
Mi naona tumweleze mapungufu yake, ili ajirkebishe, sio waungwana?
 
Tuangalie pia mazuri yake na kama anaboa tusimtukane au kuleta personal issue zake nyingine humu, tumrekebishe awe the best man that she can be....

Now, I havent watched the show and do not know anything about Cindy, so I am not saying anyhing on whether rasta zake ni au si chafu.

Lakini hii notion ya kwamba presenter wa TV ana kitu personal kuhusu presentability yake inanishangaza.

I mean it's not like wanasema anavaa chupi chafu (ashakum si matusi) watu wanaongelea nywele damn it, nywele, sio za mtu anayefanya kazi kutoka nymbanai ambaye haonekani na mtu, za TV presenter.

Nywele za bank teller tu ni presentability issue, itakuwa TV presenter.

Jamani, awe we serious au tunaleta sentimentalities zetu zitufanye tusione ukweli?
 
Back
Top Bottom