MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,765
- 2,037
Hi itakua CIA ya Iborogelo Igunga.America bado ni tishio hapa duniani kuliko taifa lolote,Korea ikipigana na America basi ujue America itakua inapigana na mataifa mengine kama mawili au matatu hivi.lakini Korea kama wao wala haitakua ni kupigana itakua ni kupigwa na kufunzwa adabu
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Trump bhana hivi alisha maliza ahadi zake alizo wahaidi Wamarekani kuzitimiza wakati wa kampeni zake au anakomaa tu na N.Korea?
Marekani ananunua rocket engine kutoka ussr sio kwa kupenda ila hana uwezo huo halaf usikir kuwa usa anaweza tengeneza kila kitu vingine anaagiza hata baraza la senate liliwahi jadili kuachana na deals of pumping billions of dollars to Russia for first class rocket engines for space mission lakini ilishindikana kutokana na bei kubwa ktk makampuni ya kibepari kama vile Lockheed
Sijui utakua umeongea nini maana maelezo meeeeengi sijasoma.kifupi kubali kataa Korea ni kama Matumla na America ni kama Tyson,jana siyo kesho nduguMkuu soma historia - Amerika iliwahi kushinda vita wapi kwa kujitegemea yenyewe - wapi? Uingereza kweli huko Falkland, sio hawa Mayankee.
Kama kufunza adabu wangeazia VietNam na iliyo kuwa Korea - twambie kushikisha kwao watu/Nchi adabu kuliwafikisha wapi wakati alipo pigana vita na Mataifa hayo mawili, kwa nyakati tufauti - walishindwa vita kutokana na ujarisi wa makomanda wa Nchi zilizo vamiwa na US, vile vile Silaha walizopewa na Uchina na Urusi ndiyo zilisababisha Uncle SAM kutimka, hapo tunazungumzia matukio ya miaka 60+ huko Korea na miaka 40+ huko VietNam , je, nchi zilizo toa silaha miaka hiyo hivi sasa zina silaha gani ambazo ni bora zaidi zenye uwezo mkubwa wa kuwafunza wavamizi adabu and not the other way around, hilo amulisemi.
Tukiachana na matukio ya vita kwenye miaka ya 1950s na 1970s tuje vita ya miaka ya hivi karibuni namely 1980/90s, swali ni ,je, huu ni mwaka wa ngapi tangu wajiingize Afghanistan - huko sahihi ni mwaka wa 16 na bado wanaendelea kuenyeshwa na Wateliban huko Afghanistani- hivi sasa U.S hipo mbioni kutafuta suluhu inataka waelewane na Wateliban ili wasitishe vita!!! Haya tuje Iraq huu mwaka wa ngapi? USA inaweza kusema kwamba Iraq kuna amani wakati bado Amerika ina kimbizana na Waasi, mwezi March au April walilazimaka kufanya a carpet bombing mji mzima wa Mosul waka wauua raia chungu mzima na mji wenyewe ukageuzwa magofu matupu na wala sikusikia CNN na other MSM outlets wakikemea mauuaji makubwa ya raia wa Iraq yaliyo sababishwa na ndege za Marekani/NATO, CNN walikaa kimya kabisa, kazi kuwasema vibaya Asaad na Iran!!!
Leo hii Amerika na Ulaya wanakemea mauuji ya Raia wao yanayo fanywa na watu walio kata tamaa ya kufanyiwa vitendo vya kidhalimu/mauuaji la raia wasio na hatia ndani ya nchi zao za Mashariki ya kati na Afrika kasikazini kukana na ndege za vita zenye marubani na Drones zinashambulia misikiti,mashule,Hospitali mpaka sherehe za harusi zinashambuliwa bila huruma - harafu nchi za magharibi walivyo mazabazabina wanashangaa vijana wa Kiarabu wanapo endesha magari madogo na malori kukanyaga wenyeji wa huko Ulaya wakilipiza kisasi - Dunia nzima inalazimika kuwalahumu Waarabu, lakini ndege za NATO zikifanya maafa makubwa kwa nchi za Kiarabu Dunia inakaa kimya as if Arabs are not human beings. NATO hawana time ya kukaa chini na kujiuliza maswali magumu ni kitu gani kina sababisha amani kutoweka huko Ulaya na Merikani kwenyewe - wapo wapo tu na majigambo - wamekuwa kero kwa kukosesha watu amani Duniani, wakiachana na tabia zao za kupendelea regime changes na NWO hakuna atakaye wafuata - hivi sasa Dunia haikubali tena kuendeshwa in ki - Unipolar mode wapo key players wengine - Amerika ikubali kwamba hivi sasa buzz word ni a Multipolar World wakubali wasikubali watakubwa na tide hawana jinsi.
Sijui utakua umeongea nini maana maelezo meeeeengi sijasoma.kifupi kubali kataa Korea ni kama Matumla na America ni kama Tyson,jana siyo kesho ndugu
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Well said.Kama unafurahia habari hii, basi siku panki boy akidundwa wala usilalamike kuwa kadundwa bila ushahidi kama ilivyotokea kwa saddam
Nichagulie wewe.Inakukumbusha miaka ya 1960 au inakukumbusha kitabu cha historia ulichosoma?
Na mimi ntanyoa kiduku mkuuKiduku Huyu ntampa dada yangu wa kidigo huyu mbona ananifurahisha hivi na nasikia juzi katest kanyuklia kadogo kadogo kama kifungo cha boksa kwa ajili ya mawigi trump tu yani cha kumlipua trump private
Wewe kiduku chako unanyoa saloon Kim kile kiduku huwa ananyoa na kipande cha bati la kifaru ohoooNa mimi ntanyoa kiduku mkuu
Kama tatizo ni hilo tu wahamishe mji basi waingie mzigoni acha kudanganya weweTatizo ni Seoul (South Korea capital city) ipo karibu sana na North Korea border,wataalam wanakuambia vitu vilivyotegeshwa pale vita ikianza within 30 minutes Seoul with 10 million people itakuwa majivu, hawana ujanja wa kumvamia fat bot na sababu ni hiyo