johnnydeep
Senior Member
- May 2, 2017
- 116
- 102
Kukubali kwa CIA kunaondoa utata uliojitokeza tangu enzi ya Bill clinton kama kweli North korea ni tishio kwa marekani, sababu hapo awali ilifahamika ni tishio kwa nchi za Japan na South korea.
Labda taarifa za hivi karibuni zinasema north korea walinunua injini za makombora ya masafa marefu kutoka ukraine na russia ndio maana uwezo wao umeongezeka kwa kasi tofauti na makisio ya awali ya CIA.
Sasa kwa vile miji yote ya marekani imo ndani ya batani ya Kim Jong Un, Marekani itaonyesha heshima na kukaa meza ya majadiliano
CIA reportedly admits North Korean nukes are good enough reach US cities