CIA kuweka picha za mauaji ya Osama hadharani leo

Hao CIA waache usanii wao...walishindwaje kuonesha mapema baada tu ya tukio? wanafanya editing kwanza..Osama alishakufa kitambo kwa maradhi na alishazikwa milimani...source:bofya hapa

Mbona hamkuweka picha za mazishi yake huko mlimani...mxxxxxx mtambani akili zenu kama manguruwe pori
 
Back
Top Bottom