Chupa ya Dawa ya mbu iliyokwisha ni hatari yaleta Madhana Lindi

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Hii nimeiona kwenye taarifa ya habari jana usiku

watoto wadogo walipokwenda kumwaga uchafu wa maganda ya miwa kwenye jalala wakati baadhi ya taka zingine zikiiungua ndipo ghafla kumbe chupa ya dawa ya mbu ilikuwepo pia ikalipuka na kuwalukia watoto hao wote wanne 4 na kuwababua usoni
Zilifanyika juhudi za haraka kuwawahisha hospitali watoto hao kwani hali zao hazikuwa nzuri kiafya hasa maeneno ya usoni

Wito
Please vitu hivi ni hatari sana hasa inapochomwa jalalani usijue ikilupa inaweza kukutoa uhai nawakumbusha wazazi wote tuwe makini na taka za namna hii kwa watoto wetu!!
 
chupa nyingi za ku spray sio lazima iwe dawa ya mbu,zinaandikwa onyo na huwa zinawekwa alama fulani hivi. kwa issue kama hiyo kutokea sio ajabu.
 
chupa nyingi za ku spray sio lazima iwe dawa ya mbu,zinaandikwa onyo na huwa zinawekwa alama fulani hivi. kwa issue kama hiyo kutokea sio ajabu.
sure maam, zinakuwa na propellants ambazo zikipata mto pressure huwa juu na kulipuka kama gruneti, ndio maana chupa za pafume ni ngumu, pia betri zilizoisha nazo ni hatari sana kwenye moto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom