Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
Labda wanaweka vitambaa vya shughuli maalum..
Au kuweka hela? Maana wanaume zamani tulikuwa tunaficha fedha kwenye soksi na wanawake kwenye matiti, hivyo labda designer wa hiyo kitu alilenga hivyo!!!