Chuo kipi cha private kinatoa diploma ya ualimu shule ya msingi?

gashambala uwezo

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
485
67
tafadhari sana, naomba yoyote anayejua chuo cha private kinachodahili
wanafunzi wa diploma ya shule ya msingi.

aidha kwa sasa mwanangu yuko katika chuo cha ualimu cha private kinachotoa ngazi ya cheti ambayo ngazi hiyo r
imefutwa rasmi.....
tumefanya utafiti kidogo juu ya jambo hili, ni kweli wale ambao wako tayari kwenye vyuo vya private wataendelea na masoma yaoo, pamoja na usemi huu wa serikali bado binafsi na kuwa na mashaka katika nafsi
yangu ya kwamba huenda mbeleni akapata matatizo pamoja na kacheti kake ka ngazi ya cheti.

ningependa kusamehe karo zote ambazo nimelipa na nimuhamishie katika chuo ambacho atapata elimu sambamba
na ile ya wanachuo walichukuliwa na serikali.

msaada p'e
 
Sijui.Nina mashaka private kwa mwaka huu hawajsjopanga.Hata hivyo inasemekana Serikali ilitoa tamko kuwa private waendelee na cheti kwani waraka ulichelewa kuwafikia.Hope kuwa wanaosoma cheti watapata ajira na huku wakitakiwa kujiendeleza baadae.Ndugu hata mimi nina mtoto wa dadangu tulimuingiza late mwezi September na points 34 div.4 .Mie sina maarifa mengine nasubiri liwalo naliwe.Sijasikia Chuo cha priv. cha dip. ila nahisi vipo kwa vile sijaulizia pia kwa vile mambo yatatulia vizuri mwakani.
 
Paradigms kipo kimara Bonyokwa Dar.Hivi hawa wa Certifocate ajira ipo kweli? Halafu serikali mbona huwa inaacha mambo yanahang? Hawapo clear kueleza nini kinaendelea
 
Iko hivi yule ambae anasoma hiyo certificate itamsaidia kuwa na sifa ya kujiunga na deploma hiyo moja kwa moja na atakua leval 5 sawa na aliemaliza form six. Yule asiepitia grade A (certificate) ataanza na leval 4. Hivyo hao wenye certificate itawapa sifa zaidi - acha watoto wasome.
 
Mbona walioenda diploma ni form four inakuaje hi.
 
Kuna NTA 4,5,6,7 ad 8. . Hao walochaguliwa 4m4 dip ni wale wenye ufaulu wa div 1~3, na inategemea amefaulu vp, mfano special dip udom ni masom ya sayanc ambyo tunaita ni NTA level 6{ordnary dip} na akitoka hapo anaeza kupga dgrii au akapga mwaka mmoja akapta NTA level 7 {advance dip}. .ni hayo tu!
 
nimekupa vizuri sana , lakini huyu ninayemsemea tiyari ana three divion ( eng c, kisw B, eng in literature C, geo C, HISTORY C , civ D, bible D) na dhani anayo sifa ya kusoma diploma, kumbuka tuliomba lakini hakupa , harafu nitakuwa kama kupoteza muda asome miaka 2 , aje tena asoma miaka 3 ya dipolma.
Iko hivi yule ambae anasoma hiyo certificate itamsaidia kuwa na sifa ya kujiunga na deploma hiyo moja kwa moja na atakua leval 5 sawa na aliemaliza form six. Yule asiepitia grade A (certificate) ataanza na leval 4. Hivyo hao wenye certificate itawapa sifa zaidi - acha watoto wasome.
 
tafadhari sana, naomba yoyote anayejua chuo cha private kinachodahili
wanafunzi wa diploma ya shule ya msingi.

aidha kwa sasa mwanangu yuko katika chuo cha ualimu cha private kinachotoa ngazi ya cheti ambayo ngazi hiyo r
imefutwa rasmi.....
tumefanya utafiti kidogo juu ya jambo hili, ni kweli wale ambao wako tayari kwenye vyuo vya private wataendelea na masoma yaoo, pamoja na usemi huu wa serikali bado binafsi na kuwa na mashaka katika nafsi
yangu ya kwamba huenda mbeleni akapata matatizo pamoja na kacheti kake ka ngazi ya cheti.

ningependa kusamehe karo zote ambazo nimelipa na nimuhamishie katika chuo ambacho atapata elimu sambamba
na ile ya wanachuo walichukuliwa na serikali.

msaada p'e

suala liko hivi,wale waliopata div.3 ambao comb zimegoma wamepewa diploma za kawaida elimu awali,walimu wa msingi wenye cheti nao wamepangiwa diploma ya msingi.Wanafunzi waliofaulu hasa sayansi wamepata hizo advanced diploma kwa ajili ya sekondari.Wanaobaki ndiyo ho wa Udom.Kiufupi kwa mwenye akili cheti ndiyo kushney.
 
tafadhari sana,
naomba yoyote anayejua chuo cha private kinachodahili
wanafunzi wa diploma ya shule ya msingi.

aidha kwa sasa mwanangu yuko katika chuo cha ualimu cha private
kinachotoa ngazi ya cheti ambayo ngazi hiyo r
imefutwa rasmi.....
tumefanya utafiti kidogo juu ya jambo hili, ni kweli wale
ambao wako tayari kwenye vyuo vya private wataendelea na masoma yaoo,
pamoja na usemi huu wa serikali bado binafsi na kuwa na mashaka katika
nafsi
yangu ya kwamba huenda mbeleni akapata matatizo pamoja na kacheti kake
ka ngazi ya cheti.

ningependa kusamehe karo zote ambazo nimelipa na nimuhamishie katika
chuo ambacho atapata elimu sambamba
na ile ya wanachuo walichukuliwa na serikali.

msaada p'e

Nenda Muslim University of Morogoro. There, you will become a Great thinker.
 
unauhakika kama kweli wanatoa, kuna mwingine aliniambia niende mt meru university kuwa wanatoa diploma nilipoenda kuongea nao kumbe nao wanatoa ngazi ya cheti lakini wanaitoa kwa lugha ya kingereza,,,eti huu ni ushauri waolipewa na nacte ,
Nenda Muslim University of Morogoro. There, you will become a Great thinker.
 
AGGREY teacher's college kiko mbeya kinatoa diploma ya shule ya msingi waliotoka kazini ni miaka 2 form 4 miaka 3
 
Back
Top Bottom