Chuo kikuu kipya cha kilimo Katavi, ni haraka mno

It is sickening to note that in the year 2011 there are still so many ignorant Tanzanians who have no clue what the meaning of higher education is. What escaped the narrow-minded who decried the idea of addition of a prestigious university to Tanzania in general and to Katavi in particular is the concept behind it. A university is more than issuance of degrees. Degrees are more than what gives individuals licence to work in airconditioned offices in big cities like Dar es salaam. Show me a degree holder (in anything) who doesn't have anything to do, you will be showing me an ignorant buffoon who has wasted public funds in creating nothing more than a useless robot of self. Higher education is supposed to open your mind to a higher level of thinking, higher level of reasoning, it is supposed to make you more inquisitive, more imaginative,definitely self-sufficient and forward looking. It is extremely idiotic to surmise that if you have a degree then you have to have an office job. If that is your thinking, then I am not surprised that there so many ignorant Tanzanians who are quite contended to clean other peoples toilets in UK, America, etc rather than go back to their villages and do real respectable work. Looking at another aspect, the original author of this despicable blog (and those who supported it) is the fact that this person hails from a place where there are 5 or more institutions of higher education. The whole of Western Corridor has no such luxury! Therefore, you don't need standard 7 education to figure out why an institution of higher education is so invaluable to this part of grossly marginalised world. Remember,Tanzania has massive land which is yet to be exploited commercially. In the next 25 years we will need to produce in excess of 50,000 agriculturists annually to be anywhere near meeting the shortage of people with suffient skills to make use of our land. And if the idea of starting such an expensive university is politically motivated, so what? And who gives a toss? What is important in the end is getting something useful for once. After all, is that not why we have politicians? Any politician who leaves a legacy of something as important as a university should be praised by all even if you never had a chance to get no more than primary education yourself.
Sure, we need as many universities as we can afford, but have u troubled urself to study the infrastructure and quality of education offered by our Universities? I have worked at various higher learning institutions in TZ, the condition is more or less the same-poor, even our presently-famous-university. I thought we have learnt a lesson from Ward Secondary Schools results, it surely appears some haven't.

Some of us are of the opinion that instead of having thousands of universities, we can have a few that are adequately funded so that at the end of the day we can have graduates who actually have 'high-level of reasoning', among other things. You can not establish a university, only to have TAs as lecturers. TAs, Master's degree holders are (essentially) also students.Lectures are 4 PhD holders and professors. It is the quality that matters!
 
Dunia sasa inabadilika kwa kasi sana!

Who on earth will from outside Tanzania be wiling to send his child to study at some agricultural university ???? tena Katavi in Tanzania??

Hata vyuo vikuu vya kilimo in Europe have been transformed and no longer called agricultural universities!

Ni tz tu hatukaki kubadilika mind set!
 
Dunia sasa inabadilika kwa kasi sana!

Who on earth will from outside Tanzania be wiling to send his child to study at some agricultural university ???? tena Katavi in Tanzania??

Hata vyuo vikuu vya kilimo in Europe have been transformed and no longer called agricultural universities!

Ni tz tu hatukaki kubadilika mind set!

jibu swali, kimeanza au bado na siyo mipasho!
 
.......:...... True mkuu kwani umestukiaje kwamba son of a poor dad anashadadia kupata umaarufu wa milele...MKP UNIVERITY OF AGRICULTURE... P.O BOX 00000 MPANDA RUKWA... JIWE LA MSINGI LILIWEKWA MWAKA 2012 NA WAZIRI..........BW MKP....TU du mizengo bwana... Shabaabi kweli kweli wa umaarufu wakati mafisadi wamemweka kwapani anapelekwa kama bajaza..
Jaman naomba mwenye mawasiliano na hcho Chuo au Chuo cha uyole mbeya naomba tuwasiliane 0716914838
 
Mi naona huu ni uamuzi wa kisiasa zaidi kuliko uhalisia. Hivi kweli tuna tatizo la wataalamu wa kilimo? Serikali haijui adha wanayopata wanafunzi wa SUA ktk soko la ajira? ...
Mawazo yako Sooth ndiyo ya kisisasa, kwamba Serikali iliyoko madarakani ni ya CCM na wewe ni wa upinzani.

Nawasikitikia vijana wanaodhani na kuishi kwamba ukipata elimu sharti uajiriwe! Ni Ajira, Ajira, Ajira wimbo wa vijana!

Uchumi wa viwanda unategemea sana kilimo. Lakini hali ya kilimo chetu kikoje! Ebu jiulize ewe Sooth!

Hao wahitimu wa hivyo vilivyotajwa na mleta mada, kama wangejihusisha na kazi katika sekta ya kilimo, nchi hii ingekuwa na njaa kweli? Lakini wahitimu wote wanategemea kuajiriwa.

Hivi kwani hujui zaidi ya 70% ya Watz ni wakulima na wafugaji! Hao wote wamehitimu huko? Hawalishi Watz wengine na mazao kuchangia pato la taifa? Hao wahitimu wa vyuo vya kilimo, uvuvi na mifugo wamechangia vipi?

Ati wanasubiri ajira! Ajira sekta ipi wakati 70% ya Watz inawasubiri huko vijijini kubadili jinsi ya kilimo, uvuvi na ufugaji. Huko ndiko kwenye ajira ya uhakika.

Nenda mijini utakuta wanaojihusisha na kulisha wafanyakazi, baadhi ni wafanyakazi hao hao ambao wanajihusisha, kwa muda wa ziada, katika kilimo, ufugaji wa wanyama na samaki. Hawa hawana kabisa elimu ya vyuo hivyo na inawezekana wana wahitimu wa vyuo hivyo majumbani, ambao wanatembea na vyeti vyao kutafuta ajira.

Kuna umhimu wa kuongeza vyuo vikuu vya sekta ya kilimo, uvuvi na ufugaji ili kupata wataalamu wa kutosha kubadili hiyo sekta ili uzalishaji uongezeke na kutoa mazao bora.

Yawezekana kuna tatizo la mitaala ya vyuo hivyo, ni budi basi Wizara husika kulishughulikia.

TUONDOKANE NA MAWAZO YA AJIRA WAKATI KUNA FURSA NYINGI TU ZA KAZI.
 
Back
Top Bottom