Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,431
Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kimemtunuku mtangazaji wa kandanda wa AzamMedia, Baraka Mpenja 'Sauti ya Radi' ikiwa ni ithibati ya kutambua na kuthamini mchango wake wa kipekee anaoutoa katika maendeleo na ustawi wa lugha na utamaduni wa Kiswahili duniani.
Mpenja ametunukiwa cheti hiko leo kwenye Tamasha la Kimataifa la Utamaduni wa Mswahili na kumbukizi
ya Shaaban Robert lililofanyika mkoani Morogoro na kuratibiwa na chuo hiko cha MUM huku wadau wa Kiswahi kutoka ndani na nje ya Tanzania wakiwa ni sehemu ya wahudhuriaji.