chuo gani kizuri kwa kusome computer science?

st joseph nimesoma diploma,lakin pia watu wanakipondea kwamba hakitoi products nzuri.
 
wadau naomba kujua chuo gani ni kizuri kusoma degree ya computer science?ushauri pls

nenda coict udsm ila jipange maana huwa kuna tu Supp supp kidizaini But upande wa kutengeneza system mbalimbali hapo ndo mahali pake
 
Computer kwa level ipi au lengo lipi? Kuna only applications, programming, networking etc. Ukisema computer bila kutaja either certificate, diploma, degree au for professional development, sio rahisi mtu kukushauri.
 
kwenye maelezo yangu nimesema ni ngazi ya degree.kimsing nilikuwa napenda sana programming lakin najihisi kuiogopa japo naipenda.wewe kama mdau nishauri cha kuchukua kati ya hivyo uklivyosema.
 
Kama uwezo upo kidogo kasome India.Kuna mji unaitwa Bangalore ni kitovu cha IT.vyuo vipo kibao.
Kama ukiwa interested niambie.
 
Kama uwezo upo kidogo kasome India.Kuna mji unaitwa Bangalore ni kitovu cha IT.vyuo vipo kibao.
Kama ukiwa interested niambie.

kaka mimi mtoto wa mkulima.nje ya nchi hii siwezi hapa bongo nategemea fadhila za loan board.thanks kwa ushauri.
 
wadau naomba kujua chuo gani ni kizuri kusoma degree ya computer science?ushauri pls
mimi nakushauri either SUA,UDSM na st joseph..hapo uangalie na ufaulu wako na kama umefaulu vizuri UDSM na SUA ni poa zaid..
Kwa SUA wao wanaiita Bsc in informatics ila in reality ni hiyo hiyo computer science na UDSM nadhani ni computer science...kuna pia st joseph pia wako fresh(na kama ungekua na uwezo ungeenda pale dar ukachukue comp science and engieering nadhani itakufaa zaidi)
 
Mimi nakushauri kama kweli unataka kusoma ili ujue vizuri kazi yako, nenda vyuo vya tech kama DIT huwa ndio vinztoa zao la ukweli. Lakini kama dhumuni lako ni kupata theoretical degree nenda kwenye hizi University zetu za ndani ya Nchi.
 
Back
Top Bottom