Chuo gani kinatoa kozi za graphic and design hapa Tanzania?

hkeenshine

Member
Jan 5, 2013
36
4
Naomba kujuzwa wakuu, ni chuo gani kinachotoa kozi ya graphics design na quality zao ikiwa na being zao kama utakua unafahamu kwa hapa Tanzania?
 
Pia jaribu na DIT (Dar-es-salaam Institute of Technology). Wana studio na facilities za kutosha tu.
 
Asanteni wakuu, mediaone wako poa ngoja niangalie price za fee zao na kama wana hostels.
 
Media one wana graphics design kweli? Naona video na 2d/3d animation
 
Chuo gan Tanzania kina fundisha mambo ya graphic and design in advance vichache nilivyo pita ni wasani watupu plz km unakijua tell me!!!!
 
Hivo ulvopita wasanii watupu watakua UDSM tu mana hata nchi leo hii hali ni tete kwasabu ya wasanii waliopita hapo, kuna college moja ya informatics n virtual education ndani ya UDOM ndo HOME kinaongoza kwa graphic and design apa Tanzania.

Vingine ni zaidi ya usanii mtupu naungana nawe.
 
Hata hapo UDSM - SICT hamna kitu jamaa weupe kinooma yani
 
Pole sana, tuelezee kidogo usanii wao ili tupate somo na sisi wenye kutafuta shule tusije ingia mkenge, yani walifanya nini mpaka ukaona ni wasanii?
 
Nataka kujuwa chuo cha video production, graphic,photograhy na mambo haya filmmaking kwa hapa Dsm ntapata wapi?.
 
Back
Top Bottom