Chuo Bora Tanzania ni Hiki....

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,151
22,726
Akili yako mwenyewe.. wewe kama ni ''Kilaza'' hata tukikupeleka Havard... utalalamika tu. Mwisho.... naomba hii mijadala ya vyuo isitishwe kwani wooote twaonekana ni wavivu wa kufikiri.. AHSANTENI.
 
huna mada ya maana wewe. Hayo yameshazungumziwa. Sasa kila mtu akisema hivyo kutakuwa na topics ngapi humu kwenye jukwaa. Search thread kama kama ipo tayari na imeshazungumziwa kaa kimya. Sio lazima na wewe tukuone umepost topic. Unaweza kuchangia topic za watu kama huna topic.
 
Jamani wadau naona mijadala ya vyuo bora inachukuwa nafasi sana humu ndani hakuna kitu kinchoitwa chuo bora au si bora.Nachofahamu chuo kikiwa na vigezo inapewa ruhusa ya kutoa shahada na chuo ni sehemu ambayo watu wanajifunza maarifa mapya na kuja kuyafanyia kazi baada ya kumaliza.Sasa hapo ndiyo tunaweza kujadili wale wahitimu wapo bora ambao wanaitumia elimu waliyopata kwa faida ya jamii na si bora hawajui elimu yao itawakomboaje na waitumieje kujikomboa.Kwa hiyo hapa bora au si bora tujadili maisha ya wahitimu baada ya kumaliza.Vyuo vyote vilivyopewa usajili ni safi kupata elimu.
 
Mimi nawashangaa sana wanaosema UDSM, sijui wanatumia vigezo gani! Majengo,umri, idadi ya wahitimu, Idadi ya vitivo(fani) zinazotolewa........Sielewi.

Halafu hii habari ya chuo bora inaingiaje vichwani mwenu? Ninachofahamu mimi ni kuwa kuna vigezo maalumu vinavyozingatiwa hadi taasisi fulani kupewa hadhi ya kutoa stashahada au shahada.
 
Back
Top Bottom