chumba cha kupanga

Ninatafuta selfcontained room ya kupanga

Samahani, unatafuta nyumba au chumba? Kama nyumba ni pm na yako, kuna nyumba ya Dola 1500 kwa mwezi. Mi ndo nakaa na nimaeneo karibu na hayo uliyo elezea. Nahama mwisho wa mwezi huu naenda masomoni nje ya nchi, na kwakuwa sina familia sina haja ya kuendelea kuishikilia na pia nitakuwa nje kwa muda mrefu kama 6 yrs
 
Asante kwa ushirikiano wako, to be honest nyumba kwangu ni kubwa sana na siwezi kuafford that price.... ndo kwanza nayaanza haya maisha! ninahitaji chumba tu au chumba na sebule but this will depend on the renting fee to whoever is concern.
 
kuna chumba master hapa kinondoni A bei 150,000 kwa mwezi , kodi mwaka miezi 6 mazungumzo kina tiles na luku mnashea kutoka chumba kilipo na kituo cha basi na mwendo wa dk 1 . 0657 145555 mi ni dalali
 
Maeneno gani hasa hasa, Ni kule karibu na jengo la Tigo au???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom