Chromebook

PeterLugomo

Member
Aug 27, 2015
19
17
Habarini wakuu..
Naomba msaada wa kujua uwezo n storage hizi computer za chromebook.
Kuna moja hapa nnayo ni ya acer na imekuja na lugha tofaut nmeshindwa kubadili lugha ila nmetafuta system management imesema available ni 1.9 gb.. hii saaa inafaa kwa storage kwel au mm ndio sijui. Msaada kwa anaezifaham.. km naweza kubadil lugha pia
 
Back
Top Bottom