afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,215
Usitake tuende deep. Hivi si kila kiungo kuliumbwa kwa kazi yake? We unaona wanafanya matumizi sahihi ya viungo vyao?
Hata madaktari wasiomjua Mungu wanajua it is wrong to do that! Na the only reason wanasupport ni kwa sababu mental health exceeds physical well being. Wanaona hao watu wanaloose more mentaly by missing what they want that what they loose physically and morally when they they get what they want. Na hii inasababishwa na parents not being there to raise them up well morally and spiritually.
Usimkufuru Mungu kumsingizia kwamba it is His fault kwamba wako hivyo-wakati wako hivyo kwa sababu wameshindwa kucontrol their evil desires
kwanza kabisa wewe kinakuhusu nini vitu watu wanavyofanya chumbani kwao??
wamekufanya nini tu mpaka uwachukie kiasi hicho?? nadhani unajua ya kwamba kuna
madoctor ambao nao ni homosexual so sijui madoctor gani unawaongelea... na pia kuna studies
zinaonyesha watu wengine walizawa tayari wakiwa homosexual...
ukifuaatilia kwa undani zaidi kuhusu homosexual utagundua ya kwamba ni kitu kinachotokanna na genes
na si sehemu watu wanayoishi ... "even tho enviroment factor plays a big part." so is not right for you to play God either ..