Choose wisely.....!

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
1,998
Kwa kweli TANZANIA hii, elimu ya kuchagua wenza inatakiwa ili nchi ikombolewe! Yani matatizo mengi ya ndoa ukiyachunguza chanzo chake utakuta ni kwamba watu wamechokana tu! Hii inasababishwa na uchaguzi wakati wa kuanza mahusiano, watu wanakurupuka tu na hawaangalii vigezo muhimu!
Jamani madhara ya haya mambo ni hayo ndoa zinavunjika, watoto wanalelewa kwenye mazingira yasiyofaa mwishowe ndio kama kwa wenzetu wamarekani. Watoto wanakuwa na abnormal sexual behaviours (gays, lesbians na hata straight people), wanakuwa psychopaths/bloodbirths(ambao hupata satisfaction fulani akiona damu inamwagika) na wezi na majambazi. Kisha hata wasiohusika wanakuja kulipa! mfano David Cameron na mikwara yake kwa nchi yetu asisi!

Hebu watu wanaojua tafadhali muwafundishe hawa watanzania kuchagua vyema manake naona nchi inaanza kufunga safari kuelekea huko!
 
Mi naona watu wabadilike, kuchagua sana mwisho wa siku unaangukia kwa kimeo.
 
unaweza kuchagua vizuri na bado mtu akakubadilikia ndani ya mahusiano... ; human beings are never predictable ...
 
Vigezo Muhimu ni vipi??

Samahani kusema wengi tu wamekulia na single parent .... na watoto wao wamekuwa vema kabisa
 
Vigezo Muhimu ni vipi??

Samahani kusema wengi tu wamekulia na single parent .... na watoto wao wamekuwa vema kabisa
With all due respect; hapa tunaongea statisticaly, marekani nadhani ndio inaongoza kwa kubreed binadamu wa ajabu sexualy na morally....Statistics zao zinaonyesha inachangiwa sana na ndoa kuvunjika! this is the result of gradual destruction of the marriage institution! Kwenye statistics kuna exceptions so ni kweli kuna waliolelewa na single parents wakawa vyema!
 
Kabisa kabis sio kavamia tu, kuoa/kuolewa ni kitu kingine kabisa.

Kuna mtoto wa kichaga kaolewa na mwarabu mmoja, yani yule jamaa anakatesa sana kale ka bent kakichaga, afu siju wazazi wa huyo bent ni tamaa za pesa au, mpaa kumuozesha mtoto wao kwa mtu amabaye anaweza kuwa babu yake.
 
unaweza kuchagua vizuri na bado mtu akakubadilikia ndani ya mahusiano... ; human beings are never predictable ...

Mi naona watu wabadilike, kuchagua sana mwisho wa siku unaangukia kwa kimeo.

Ndugu zangu, sikumaanisha kuchaguachagua aimlessly namaanisha kumake sure unaend up with the right partner, uwashirikishe wanazuoni, marafiki na wazazi kwenye mchakato wakom siyo unakurupukia uhuru wako wa kuchagua
 
kama alivyosema cartura, umeona umepata chaguo sahihi ila ndani anakuja kukubadilikia. Haya mapenzi sometimes bora uyape kisogo.
 
With all due respect; hapa tunaongea statisticaly, marekani nadhani ndio inaongoza kwa kubreed binadamu wa ajabu sexualy na morally....Statistics zao zinaonyesha inachangiwa sana na ndoa kuvunjika! this is the result of gradual destruction of the marriage institution! Kwenye statistics kuna exceptions so ni kweli kuna waliolelewa na single parents wakawa vyema!

Binadamu wa ajabu wakoje? ?
 
Bi dada, u are a grown up. Wewe unaona gays na lesbians waliumbwa na Mungu wawe hivyo walivyo?

Who are you to judge anyone?
Mungu aliumba kila mtu na kumpa uchaguzi
wakufanya atakalo ... ndio naamini waliumbwa wawe hivyo ... .. ..

Na we unadhani Mungu aliwaumba? Au?
 
Who are you to judge anyone?
Mungu aliumba kila mtu na kumpa uchaguzi
wakufanya atakalo ... ndio naamini waliumbwa wawe hivyo ... .. ..

Na we unadhani Mungu aliwaumba? Au?

Usitake tuende deep. Hivi si kila kiungo kuliumbwa kwa kazi yake? We unaona wanafanya matumizi sahihi ya viungo vyao?
Hata madaktari wasiomjua Mungu wanajua it is wrong to do that! Na the only reason wanasupport ni kwa sababu mental health exceeds physical well being. Wanaona hao watu wanaloose more mentally by missing what they want than what they loose physically and morally when they they get what they want. Na hii inasababishwa na parents not being there to raise them up well morally and spiritually.
Usimkufuru Mungu kumsingizia kwamba it is His fault kwamba wako hivyo-wakati wako hivyo kwa sababu wameshindwa kucontrol their evil desires
 
Who are you to judge anyone?
Mungu aliumba kila mtu na kumpa uchaguzi
wakufanya atakalo ... ndio naamini waliumbwa wawe hivyo ... .. ..

Na we unadhani Mungu aliwaumba? Au?

AD hujambo mama? Ni kweli Mungu alituumba na kutupa uchaguzi wa kufanya tutakalo. Wakati huo huo alitupatia Guidelines za kufuata, hivyo kuzikiuka ni kwenda kinyume cha maagizo yake, hence jamii itakuona "wa ajabu"
 
Back
Top Bottom