Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 202
- Thread starter
- #41
Pale sasa kazidi!
Nahisi alikuwa anaogopa wa2 walikuwa hawachez mbali na Toilet.
Ebwana safi!
dah mkuu hongera nimecheka mpak watu wamenishangaa.....mjini shule!
Mkuu huyu bwana naye aliungana na radio kuimba wimbo wa taifa au alikaa kimya???