Chooni na RADIO

Mke mmoja alimpa mme wake radio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu.
Basi alivyotoka akamuuliza: "enhe, mume wangu, vipi ulienjoy?"
mume: "ah, wajinga hawa! Wameniwekea wimbo wa taifa nimekunya huku nimesimama!"

Kwikwikwi
Mbavu zangu mie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom