Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

Vyoo vya kukaa safi sana,mimi napenda vya kukaa,hata mgonjwa anatumia
Hapa jf kuna watu kweli kweli,vyoo vya kukaa vilitengenezwa kwa ajili ya watu wasio weza kuchuchumaa wagonjwa wa magoti migongo unene uliopitiliza heti mtu anasema kuwa anapenda choo cha kukaa
 
Kwamba hicho kidude kinapiga ile sehemu hadi mavi yote yanatoka na kubaki msafi bila ya kutumia mkono.?
Mm hua lazima nitumie mkono kwahy hapo nakosea.?
Usione watu wamevaa suti na siketi nzuli wamo kwenye magali lakini uwezi amini kama kweli wanatumia tishu au kibomba kujichambia wengi wao udhani heti kutumia mikono kujisafisha ni kushika mavi yani watu wachafu sana sana sana hehe
 
Vyoo vya kukaa vinahitaji ustaarabu na usafi. Kuna vitu ambavyo ni lazima viwe kwenye hivi vyoo vya kukaa. Ukikuta hakuna basi ni kosa. 1. Bomba la maji yanayotitirika. 2. Sinki la kunawia mikono. 3. Sabuni 4. toilet paper. 5. Hand tissues (kwenye vyoo vya umma na taulo kwa vyoo vya nyumbani). Pia vyoo vingine vya umma huwa wanaweka disposable toilet seat covers, za kuweka kwenye choo ile sehemu unayokaa. Waafrika wengi mnachukulia chooni ni kama sehemu ambayo ni lazima iwe chafu na hivi vitu nilivyoorodhesha hatuweki. Ndipo tatizo linapoanzia.
Umemaliza kila kitu nilichotaka kuandika, vyoo vya kukaa vinahitaji usafi wa hali ya juu sana.
 
Umemaliza kila kitu nilichotaka kuandika, vyoo vya kukaa vinahitaji usafi wa hali ya juu sana.
Watu wengi ni washamba vyoo vya kukaa vipo kwa sababu ya wangojwa wasio weza kuchuchumaa na wazee na watu wenye unene wa kupindukia

Kiafya kwa mtu ambaye sio mgonjwa hapaswi kutumia vyoo vya kukaa ajabu heti watu wanavitumia hali yakuwa wao sio walengwa sabuba ya ushamba

Pia vyoo vya kukaa ni gumu kupisha mkono kuchamba kujisafisha baada ya kunya wengi wao upenyeza vibomba vyo kujisafishia kuchamba lakini vibomba hivyo havisafishi kama kutumia mkono

Wengi wao wanao tumia vyoo hivyo utumia tishu yani ujipaka kinyesi tu sababu kinacho safisha sehemu hiyo ni maji tu tena kwa kutumia mkono wamuhusika

Ukienda kwatu walio pata hela pia sio washamba mala nyingi upenda kuweka vyoo aina 2 cha kuchuchumaa na cha kuketi mgonjwa ataketi amalize haja yake mzima atachuchumaa unapo pata hela hili ukitumie vizuli toka hapo ulipo tembea kwa watu wajanja ukaone wanavyo Isha
 
Kero yake zaidi nchi za kusini mwa africa wanatumia vyoo hivi tu, halafu hawatumii maji, yani kama hakuna usafi ni cha public full nyesi na matishu, vyoo hivi ni viwanda vya fangasi na UTI kama ni public.
Mi huona mtu anayetumia tissue ama toilet paper baada ya kujisaidia ana mapungufu katika mfumo wa maisha yake.
Haiwezekani ukatumia karatasi kujisafisha na ukatakata hata siku moja.
 
Kwanza mimi huwa najiuliza ukienda kukata gogo hali uume upo katika hali ya kusimama mkojo unarukia wapi? Au basi uume umelala inabidi ukojoe kwanza mdio ukae au unakunjia uume humohumo?
Vyo hivi ni usumbufu na hasa iwe sehemu yenye baridi sana
Hata mimi hujiuliza
 
Mi huona mtu anayetumia tissue ama toilet paper baada ya kujisaidia ana mapungufu katika mfumo wa maisha yake.
Haiwezekani ukatumia karatasi kujisafisha na ukatakata hata siku moja.
Watumia karatasi uwabeza wanao jiasafisha kwa maji heti wanashika kinyesi
 
Sikipendi choo cha kukaa kabisa. Naona siku hizi hadi nyumba za wageni wanaviweka sana sijui vinapendewa nini
Mkuu vuka umri wa miaka 55 ili uvipende kwa lazima na kuviona umuhimu wake, vya kuchuchumaa kumbuka unajibeba mzee baba?

Kama walivyotangulia kusema wadau wengine hapo juu, choo hicho kinafaa private bedroom(wanaita self)na kama ni hotelini, usafi wa hoteli hiyo usiwe ni wa kutiliwa mashaka.

Ukikizoea aina hii ya choo, hata ukiwa matembezini, ukibanwa haja utatamani kurejea nyumbani ukanyee huko.

Ukisikia mtu anachatia chooni ndo yupo kwenye ivo vitu, unawezafanya mambo zaidi ya moja kwa wakati mmoja tena bila ya bughudha yoyote.

Hata kama unaumwa tumbo la kuhara, vyoo hivyo vina sound proof, zile 'mbwiii mbwiii, tratatatata' hazitoki kusikika nje, kwa sababu unapokaa sauti unaibana kuizuia automatik haitoki nje kusikika kama vyoo vya uswahilini, ambavyo ukitoka kujisaidia na kopo lako mkononi hadi unajihisi aibu kwa sauti uloizalisha chooni.
 
Mkuu vuka umri wa miaka 55 ili uvipende kwa lazima na kuviona umuhimu wake, vya kuchuchumaa kumbuka unajibeba mzee baba?

Kama walivyotangulia kusema wadau wengine hapo juu, choo hicho kinafaa private bedroom(wanaita self)na kama ni hotelini, usafi wa hoteli hiyo usiwe ni wa kutiliwa mashaka.

Ukikizoea aina hii ya choo, hata ukiwa matembezini, ukibanwa haja utatamani kurejea nyumbani ukanyee huko.

Ukisikia mtu anachatia chooni ndo yupo kwenye ivo vitu, unawezafanya mambo zaidi ya moja kwa wakati mmoja tana bila ya bughudha yoyote.

Hata kama unaumwa tumbo la kuhara, vyoo hivyo vina sound proof, zile 'mbwiii mbwiii, tratatatata' hazitoki kusikika nje, kwa sababu unapokaa sauti unaibana kuizuia automatik haitoki nje kusikika kama vyoo vya uswahilini, ambavyo ukitoka kujisaidia na kopo lako mkononi hadi unajihisi aibu kwa sauti uloizalisha chooni.
Kwa uzeeni sawa ila kufanya kiwe public toilet kwa mazingira ya kwetu naona ni changamoto.
 
Watumia karatasi uwabeza wanao jiasafisha kwa maji heti wanashika kinyesi
Dah huo mtihani wa kifikra mkubwa sana kwakweli.

Kwani unapobonyeza shataf ikapuliza maji kunako O, si kila kitu kinaondoka hata kabla ya mkono haujafika katika hiyo jiografia?

Halafu ukifundishwa kutawadha kwa maji tangia ukiwa mtoto, hauwezi hata siku moja ukakumbatia kimba wakati wa kujisafisha ama kulowanisha boxer kwa maji yako taka hata choo kikiwa ni cha shimo.

Zoezi hilo halifanywi na vidole vyote vya mkono, hufanywa kwa kidole kimoja na vikizidi sana viwili kutegemeana na umbile la mtu na vidole hutumika kama brush kuclear.

Na ukinyanyuka pembeni unakutana na sinki la kunawia pamoja na sabuni ya marashi, mambo swafi.

Hao wanaodai hivyo mkuu inabidi tuwapeleke kozi wakajifunze jambo hilo moja muhimu😆😆.
 
Choo ya kukaa Bado ya kulala. Hii ni ujinga kabisa. Yaani Kila mtu akalie hapo Bado maji ya choo yanaruka kukugusa, inasababisha bawasili. Hii choo ni takataka kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom