Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 969
- 2,032
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanzania jina lako ni Tamu Sana.
Huyu Jamaa aliachia nafasi yake ya chama kwa skendo za fedheha kwa nchi. Chama kikasema kinachunguza na kwamba kitatoa taarifa uchunguzi ukikamilika.
Hata jua halijazama bwana Jamaa kateuliwa wakati hata taarifa yake ya fedheha haijatoka. Hivi kweli kwa skendo zile huyu anafaa kuwa mtumishi wa Watanzania? Wewe uliyemteua akili yako huwa inawaza Nini kuhusu Tanzania na Watanzania? Kweli mmefikia hatua ya kuwadharau Watanzania kiasi hiki? Mnawanajisi wananchi kwa kuwapa kiongozi bomu?
Masikini hata aibu mmekosa. Kuna Watanzania wachapa kazi wengi tu lakini mmewaacha. Mnaramba matapishi. Mnarudisha watu wabovu. Mkifa mnahangaisha wanajeshi wetu kuwatembeza kwa mizinga utadhani mlifanya cha maana Sana kumbe serikali zenu zilikuwa za kishikaji na wizi tu.
Sawa kama hamuwaheshimu Watanzania kwa kuwapa viongozi matapeli basi mungu atawaheshimu Watanzania kwa kuwasafisha nyie. Karma is real.
Tanzania yetu ndiyo nchi ya amani🇹🇿
Soma:
- Rais Samia afanya Mabadiliko madogo ya uongozi Serikalini, amteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe