Chit-chat raha jamani

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Heshima wana chit-chat,

Baada ya jana kujumuika na wanajf hasa wa jukwaa letu pendwa la chit-chat pale Kebby's Hotel nimefurahi sana.Kwa mantiki hiyo naomba kukaribishwa katika jukwaa hili maana nilikuwa mgeni wa kupita na kusoma bt since jana nimekuwa active member.

Hakika chit-chat ndo mpango mzima mana jana tumefunika mbaya.

Asanten wakuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom