Chino alalamika kubaguliwa na Wasanii wenzake

Tamasha linatakiwa liwe na wadhamini halafu baada ya wadhamini atangaze malipo ya wasanii watakao paerfome ..
Sio bure bure kisa Tu wamsapoti wakati kuna hela zinapigwa

Wabongo tunapenda sana negativity........Tumekua wepesi sana wa KUHUKUMU aisee

We nani kakwambia hakuna mdhamini na hakuna malipo?
Au unajua ametumia grounds zipo kusema wasanii wamsapoti kama anavyo wasapoti?
 
Kulalamika lalamika ni weakness.

Fanya wema nenda zako, usingoje shukurani.

Mwanamuziki ukifanya wema kwa wenzako, halafu wao wasikurudishie, hilo ni kosa lako.

Wewe umeshindwa kuwa na ushawishi. Inabidi utafakari, umekosea wapi?

Sasa mwanamuziki ukishindwa kuvutia wanamuziki wenzako wachache tu, mashabiki wengi utaweza kuwavutia?

Hii ina apply kwa wanamuziki tu au life in general?

Kwamba ukimsaidia mtu na asikusaidie ukihitaji inakua ni kosa lako?
 
Hiyo ina apply kote kwenye maisha.

Ukitaka kumfanyia jambo mtu ili na yeye akufanyie, huo si msaada, hiyo ni biashara ya "nipe nikupe". Weka mkataba au namna ya kuhakikisha utalipwa.

Msaada unatoa unashika zako hamsini, mtu akikukumbuka ulimsaidia, na yeye akakusaidia, unashukuru. Mtu asipokukumbuka akakusahau, unashukuru.

Kwa sababu, dhumuni la msaada ni kumsaidia mtu, bila kutegemea kulipwa.

Ukitoa kitu kwa kutegema kulipwa huo si msaada, hiyo ni biashara.
 
Mkuu nimeuliza kwasababu ya andiko lako hili.
“Mwanamuziki ukifanya wema kwa wenzako, halafu wao wasikurudishie, hilo ni kosa lako.

Wewe umeshindwa kuwa na ushawishi. Inabidi utafakari, umekosea wapi?” ........ nikatatizika kidogo kuona mtoa msaada ndio mwenye KOSA

BTW kuna msemo mtaani unaosema “inavyotakiwa kuwa na jinsi ilivyo”

Ni kweli msaada sio deni, msaada ni ishara ya ubinadamu na uungwana kwamba sisi binadamu ni social animal tunategemeana na kusaidiana pale tunapo hitajika...... sio uungwana kwamba ukiwa na uhitaji unaniomba nikusaidie lakini nikihitaji mimi inakua msaada sio DENI
 
Nakwambia hivi, ukitaka kuwafanyia watu vitu na wao wakufanyie, weka mkataba, wasipotimiza washitaki kwa mujibu wa mkataba.

Kama unataka kutoa msaada, toa msaada bila kutegemea kulipwa, ukishategemea kulipwa huo si msaada, huo ni uwekezaji na unaturudisha kwenye mikataba.

Usichoelewa nini hapo?
 
Back
Top Bottom