Chinese Taxi Driver in Bongo?

PlanckScale

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
550
169
Recently at the KQ office in Dar, I met a fellow traveler, whom we had a discussion on the impact of the influx of Asians in TZ. Needless to say, we were both on the same wavelength; they are taking jobs and business opportunities that could have otherwise benefited the local population.

I would hope this frustration is shared by many. Whenever I am stopped by immigration officers at the Mw. Nyerere airport, I always take the opportunity to ask them why so many Chinese come through. Of course, they are the wrong persons to ask, being that they are so low in the decision-making hierarchy. I guess it is a way of venting…

Anyway, Mbongo mwenzangu at the KQ office went to tell me of an incident where he hailed a Taxi, and to his surprise, the driver was Chinese!

Has anybody come across this Taxi before?
 
Not yet lakini ndio watoa huduma za kijamii kwa bei nafuu kuliko nchi yeyote
 
I havent come across a chinese driver, am shocked by what you have written!!! but again if they have flooded the 'china town' kariakoo market and they are doing exactly tubiashara tudogodogo which could have beenor rather is being done by 'wamachinga' wa bongo, then we should expect more suprises.

We have the Immigration Department in the ministry of home affairs as well as the TZ Investment center which issues the b'ness permits for 'investors'. (u can keep that in mind)
 
Not yet lakini ndio watoa huduma za kijamii kwa bei nafuu kuliko nchi yeyote

Shida ndugu kibweka sio urahisi wa huduma, kuna sheria na uhamiaji na mambo ya working permit.Hivi unadhani ni rahisi kwa wewe kwenda hapo nchi yoyote jirani ukajifanyia kazi tu bila kuzingatia sheria za vibali vya kazi? Kwangu mimi hii inanitisha zaidi ninapofikiria kwamba hata hii jumuia ya Afrika mashariki kwa uzembe huu itakula kwetu. Na ukiiangalia speed ya utekelezaji inaonyesha kwamba kutokana na sisi kuwa loose kwenye mambo yetu mengi wenzetu wameona wana single nyingi tu za kutoa kupitia sisi.

Haya ni matokeo ya watu waliopewa mamlaka kukaa tu maofisini wakipanga ulaji badala ya kufanya mambo kwa maslahi ya taifa. Kuna taratibu za kimataifa zinazo guide vitu kama hivi, kutoka nchi nyingine tunatakiwa kupata rear proffession na driver tax, si bora basi kama soko la tax tunahitaji huo utaalamu wa kichina bora ungekuwa mkakati wa serikali kupunguza vibaka wanaotusumbua mitaani kwa kuwapat free training ya driving vijana wote wasio na kazi ili kupunguza tatizo la ajira nchini?

LET US BE SERIOUS ON CRUCIAL ISSUES LIKE THIS ONE
 
J4 King hivi sio kwamba kuna maeneo twaweza kuruhusu wawekezaji na mengine hapana??
yaani kwetu mabo yanfanywa holeholela....hata tax driver awe mchina??? haya sisi tufanye nini sasa?? tunabaki kumangamanga ndani ya nchi yetu!!!
huyo anayesema huduma yao nafuu hebu atuthibitishie basi...

asa uhv said it ....hapa si kw amaslahi ya taifa mkubwa....pity!
 
I recently had a conversation na shop owner hapo Kariakoo, Mtaa wa Swahili. Jamaa wanadai wachina wanaua biashara ya knobs za draws na vitasa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia duka moja hapo Kariakoo – adjacent to Swahili street, but near where they sell electrical goods. Jamaa bei zao ziko chini kishenzi, yani huwezi kushindana nao. I didn't buy from them kwasababu najua wabongo wanahitaji biashara yangu. But with those kind of prices, I don't know how long I can hold my breath ...:confused:
 
wanajamii wenzangu hali hii inatisha.Jaribu kupita mtaa wa Narung'ombe karioko utagudua, mdau anachoadi ni sahihi. Duku with less than six pair of yebo yebo kama zinavoitwa na waswahili two chines shoopkeeper. where were and where we are going wa tanzania wanzangu. yeloo womi inauma ukitafakari.Fukuzia mbali wote and make the turn back kwao.
 
I recently had a conversation na shop owner hapo Kariakoo, Mtaa wa Swahili. Jamaa wanadai wachina wanaua biashara ya knobs za draws na vitasa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia duka moja hapo Kariakoo – adjacent to Swahili street, but near where they sell electrical goods. Jamaa bei zao ziko chini kishenzi, yani huwezi kushindana nao. I didn't buy from them kwasababu najua wabongo wanahitaji biashara yangu. But with those kind of prices, I don't know how long I can hold my breath ...:confused:
why and how were they given tha f***n permits in the first place????????

hamna criteria zilizowekwa kwa ajili ya 'kugawa' vibali jamani jamani my dear country tanzania where are taking you??????

hovyo hovyo kila kitu hovyo tuuuu
 
Usiogope bht..dawa yao HAWA ndogo tu mbona...! ni kubadilisha kundi-hafidhina la wanaowaweka na kula 50 percent zao.

Kwanza bora hata udereva wa taxi, mbona mi nishawahi kukumbana na konda Mchina kwenye mabasi ya YUTONG yale ya kichina!
This is " NO MAN'S LAND!...uSINAMBIE NDO MNASTUKA LEO!
 
Watu bwana hii issue ya wachina tumelalamika weee lakini hakuna anayejali,hata pale Jollies kuna mademu wa kichina wanajiuza ,tulipolalamika jamaa humuhumu JF wakaleta dhihaka kana kwamba hawaoni fursa zao zinapotea si muda mrefu tutawaona wachina wakibeba lumbesa shimoni kariakoo na wamatumbi tukikosa hata kubeba hizo Lumbesa.
 
Interesting arcticle on Angola.

Unajua haya matatizo yanatokana na misalignment in policies between a government and it's citizen. Sasa masikini Angolans, walifurahi watajengewa stadium, what they didn't know was their government also gave away their jobs to Chinese workers.

China is using the simplest of tack-ticks za misaada. Yani wala sio sophisticated. Wanakupa msaada na wanaleta watu wao kujenga hiyo misaada ya infrastructure. And our Government signs the agreements. Wanaleta a management team, supervisors, laborers, wapishi, na mpaka changu doa (and some for the locals, so i have heard). They cover everything and they make no secret about it. Ukilalamika wanasema sisi tunawasaidia.

Tatizo ni viongozi wetu na sisi wananchi hatuipazi sauti vyakutosha.
 
waacheni waangaike watafute maisha mtu yoyote ukitaka unaweza kuwa dereva wa taxi pelekeni nguvu zenu kwenye hizo proffesional jobs ambazo watanzania wapo waliosomea lakini kazi wanapewa watu wa nje lakini swala la kumtolea macho mchina dereva wa taxi nadhani nikumuoenea tu.
 
Statements hizi ndio zinatufanya tuwe nyuma (wazawa). ngoja nikunyweshe maji ya bendera ;):

Kila taifa linatetea maslahi ya raia wake kwa kuhakikisha raia wanapata ajira (navinginevyo
kama ulinzi, tiba, kisheria, n.k). Sivibaya kumchukulia mchina kama binadamu mwenzangu. Lakini, kama mimi nimtanzania, na kazi bongo ziko chache, basi bora apate mbongo kwanza kabla ya mgeni. Pili, kuja kwa wageni lazima kunufaishe wananchi kimaendeleo – wanyamwezi wanaita "knowledge transfer", "capacity building", etc.

In general, most countries position their laws in such a way that, employing foreign nationals is only considered when local experts are not available. Foreigners hired to work must obtain a visa and/or working permit. In addition, most countries use foreign investors as a way of training their people, and thereby, promoting the transferring of knowledge to the
local population. By the way, this is how many Asian countries were able to make huge strides toward industrialization.

Here are some examples of labor laws targeting foreign investors:

Costa Rican: Labor Law prohibits employers from employing, less than 90% of Costa Rican workers. This percentage may be increased or reduced by up to 10%, during a period not to exceed five years. When a company has no more than five workers, only 80% of them must be Costa Ricans.

Bangladesh: Number of foreign employees should not exceed 5% of the total employees including top management personnel. Initially employment of any foreign national is considered for a term of 2 years which is extensible on the basis of merit of the case.

In Peru: According to labor laws foreign employees should not exceed 20% of the total number of employees and salaries paid to foreigners may not exceed30% of the total company's payroll

Venezuela: At least 90% of all workers in a company that employs 10 or more workers must be Venezuelans. In addition, remuneration of foreign staff should not exceed 20% of the payroll. A larger percentage is permitted only when there is an insufficient number of national specialists.

Industrial relations chiefs, chief of personnel, captains of ships or airplanes, captains or whoever performs similar functions, shall be Venezuelans.

Sasa sisi wabongo tuna enforce law zetu?
 
Karne hii kila kazi ina competition sio kwa wazawa wala wageni coz dunia sasa ni kama kijiji kimoja, so kama wazawa mkizubaa, wageni wanachukua chance. Hili suala la wageni mf wachina kufanya mishemishe zao Tz hata hizo ndogondogo za udereva, ukondakta ni suala la kawaida tu. kuna jiji moja lipo China linaitwa Guangzhou kuna wabongo kibao wapo kule wakifanya mishemishe za biashara na wapo wengine hawana wazo la kurudi Tz kabisa, sasa kwa nini mnaanza kuwasema wenzenu wakati huohuo kuna ndugu zenu wapo hukohuko China wanapiga madili yao, mi naamini hata kama tukitoa hao wageni bado hakuna kitakachofanyika coz hii nchi watu wamezubaa sana kimaendeleo....piga kazi uweke ushindani na huyo unayetaka aondoke na sio kumjadili.
 
Tanzanians are lazy and envous that is why we are the losers........Acheni hii tabia ya enzi ya Nyerere move on folks...........what is so special about the chinese taxi drivers..after all he is human!
 
Mkuki kwa nguruwe eeh..hehehe yaani nyie mnataka mkapige box kwenye nchi za wenzenu then wakija kwenu kelele nyingi....tuleteeni data zenye fact za wageni wanaoingia na kufanya kazi illegal nchini Tanzania.....mbona USA,EUROPE,ASIA watanzania wengi tu tax drivers,nenda Western Europe hadi south Africa.....juzi juzi south Africa wamewafanyia fujo wageni kwa malalamiko kama hayahaya,wabongo tena humuhumu jf wakwanza kulalamika haki za binadamu ooh wasouth wamesahau fadhila za ukombozi ooh kila binadamu anahaki ya kufanya kazi popote pale alipo ili mradi tu anafuata sheria na kanuni za nchi aliopo.....so cha ajabu kipi chineese kudrive tax in Tz?.....look in restaurants,hotels,supermarkets,kuzoa taka,usafi in general,kuosha magari,maofisini,in banks,in universities,colleges,udalali,biashara ndogodogo na kubwa pia,...IN AMERICA,EUROPE,ASIA, AND SOUTH AFRICA watanzania wengi tu mbona wafanya kazi huko?..........wenzenu wala hata hawasemi na misaada mingi tu kwa annual government budget wanawapa bado misaada mingine ya hali na mali.......mbona hawasemi??...watz wangapi wanasoma china? India,Russia,Japan,America,Europe tena kwa schoolarships????....Tanzania inasomesha wachina,wajapani,wahindi,wamarekani wangapi kwa schoolarships????............inatoa misaada mingapi kwa hao tunao walalamikia wanachukua oportunities zetu????

NOTE:..WE HAVE TO CHANGE! THE TIME IS NOW!! TUACHE KUBWETEKA NA KULALAMIKA KILA SIKU OPORTUNITIES,RESOURCES, TUNAZO TENA NYINGI SANA BUT TUMEBWETEKA TUKISUBIRI WAFADHILI SO WENZETU WAKIJA NA KUANZA KUZITUMIA TUNAANZA KULALAMIKA....SO WHAT DO WE WANT THEM TO DO???......YALEYALE YA MOUNT KILIMANJARO NA KENYA.....NA SASA WAKENYA WANASUPPLY INTERNATIONAL WIDE COFFEE YAO AMBAYO IKO LEBLED KAMA KILAMANJARO WHICH IS ALMOST KILI.... NA INAEFFECT KUBWA SANA KWA BIASHARA.........TAYARI TUSHAANZA KELELE....SO WHY DONT WE SUPPLY OUR COFFEE INAYOLIMWA NA KUKUZWA KWA SLOPES ZA REAL KILIMANJARO NA KUIPA HILO JINA TAKATIFU?.......NA KAMA TUSIPO CHANGE WALAHI TUTABAKI WATAZAMAJI TU WA HAYA MAENDELEO KILA SIKU NA KUZIDI ONA NI MIUJIZA NA LABDA TUNA LAANA YA KUZALIWA....
##KAZI NDIYO MSINGI WA KWELI WA MAENDELEO YA MWANADAMU NA TAIFA. AND $$$$$@@@........in ua pockets.....sio maneno maneno.
.......................TAKE MY WORDS GUYS............
 
Back
Top Bottom