Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 4,815
- 6,054
USA babyUSA baby....
USA babyUSA baby....
Ivi kwa nni kila nchi ikitengeneza silaha ina refer kwa u.s.a...huwa najiuliza san cpati jibu..
Russia
China
N.korea
Iran
N.k
Kwan U.S ana silaha za namna gani mpaka wawe na waswas sana had kumtisha kiasi hiki
Afadhali maana siwapendi USA
una umri gani?Kama huwapendi USA basi usitumie bidhaa zao.
mhh wako busy na mengine sidhan km wanashida upande huo wa nuclear arsenal,sana sana huwa wana upgrade tu zilizopombona USA hawatest nuke zao,? au wana Alien technology they are waiting for the right moment.
subira yavuta heri mkuu endelea kusubiriHakuna shaka sasa nguvu zinarudi East kwa style ya aina yake,huku China huku BRICS. Sasa duniani kutakua na amani na kuheshimiana.
Hahaha....counter question!!! Safi sana mkuuNimekwambia na nitaendelea kukuambia.
Usibwabwaje, Kufikiria siyo dhambi.
Hivi kwanini nchi kama.
Lithuania,
Estonia,
Latvia,
Poland,
Georgia,
Wamekimbilia kujiunga na NATO?
Wanamuogopa mdudu gani?
Hata mimi pia sipati majibu,
Hivi U.S.A ana military base all around the planet. Anamuogopa nani?
Tena, kwanini apange ku-install missile shield in Europe wakati hana mpinzani hapa duniani?
Tena, kwanini anandelea kubaki NATO wakati hana mpinzani?
Ntafurahi wewe Great Thinker ukinipa majibu.
Hahaaaaaa nimekupata,mkuuNimekwambia na nitaendelea kukuambia.
Usibwabwaje, Kufikiria siyo dhambi.
Hivi kwanini nchi kama.
Lithuania,
Estonia,
Latvia,
Poland,
Georgia,
Wamekimbilia kujiunga na NATO?
Wanamuogopa mdudu gani?
Hata mimi pia sipati majibu,
Hivi U.S.A ana military bases all around the planet. Anamuogopa nani?
Tena, kwanini apange ku-install missile shield in Europe wakati hana mpinzani hapa duniani?
Tena, kwanini anandelea kubaki NATO wakati hana mpinzani?
Ntafurahi wewe Great Thinker ukinipa majibu.