China tests ICBM capable of striking US within half an hour

Ivi kwa nni kila nchi ikitengeneza silaha ina refer kwa u.s.a...huwa najiuliza san cpati jibu..
Russia
China
N.korea
Iran
N.k
Kwan U.S ana silaha za namna gani mpaka wawe na waswas sana had kumtisha kiasi hiki
 
Nimekwambia na nitaendelea kukuambia.
Usibwabwaje, Kufikiria siyo dhambi.
Hivi kwanini nchi kama.
Lithuania,
Estonia,
Latvia,
Poland,
Georgia,
Wamekimbilia kujiunga na NATO?
Wanamuogopa mdudu gani?

Hata mimi pia sipati majibu,
Hivi U.S.A ana military bases all around the planet. Anamuogopa nani?
Tena, kwanini apange ku-install missile shield in Europe wakati hana mpinzani hapa duniani?
Tena, kwanini anandelea kubaki NATO wakati hana mpinzani?
Ntafurahi wewe Great Thinker ukinipa majibu.
 
mbona USA hawatest nuke zao,? au wana Alien technology they are waiting for the right moment.
mhh wako busy na mengine sidhan km wanashida upande huo wa nuclear arsenal,sana sana huwa wana upgrade tu zilizopo
 
Nimekwambia na nitaendelea kukuambia.
Usibwabwaje, Kufikiria siyo dhambi.
Hivi kwanini nchi kama.
Lithuania,
Estonia,
Latvia,
Poland,
Georgia,
Wamekimbilia kujiunga na NATO?
Wanamuogopa mdudu gani?

Hata mimi pia sipati majibu,
Hivi U.S.A ana military base all around the planet. Anamuogopa nani?
Tena, kwanini apange ku-install missile shield in Europe wakati hana mpinzani hapa duniani?
Tena, kwanini anandelea kubaki NATO wakati hana mpinzani?
Ntafurahi wewe Great Thinker ukinipa majibu.
Hahaha....counter question!!! Safi sana mkuu
 
Nimekwambia na nitaendelea kukuambia.
Usibwabwaje, Kufikiria siyo dhambi.
Hivi kwanini nchi kama.
Lithuania,
Estonia,
Latvia,
Poland,
Georgia,
Wamekimbilia kujiunga na NATO?
Wanamuogopa mdudu gani?

Hata mimi pia sipati majibu,
Hivi U.S.A ana military bases all around the planet. Anamuogopa nani?
Tena, kwanini apange ku-install missile shield in Europe wakati hana mpinzani hapa duniani?
Tena, kwanini anandelea kubaki NATO wakati hana mpinzani?
Ntafurahi wewe Great Thinker ukinipa majibu.
Hahaaaaaa nimekupata,mkuu
 
Nuclear capable state ikiwemo Tanganyika Ya Mwaka 2018 Russia akimaliza kutujengea Mtambo wetu... Zamu yao Kuwatumikisha
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom