Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
Sisi ni Afadhali ya Mwanamke Malaya, Baada ya kutumiwa na kudhoofishwa na Mabwana wetu (US & EUROPE) sasa tunampapatikia bwana mwingine (CHINA) tena kwa vicheko tunamnanga mabwana wa zamani OR no, bado hatujawaacha, wote bado wanatutumia. cursed Africa.