China isingemchelewesha Lowassa

Wanaomshabikia EL hawana point zaidi ya mihemko tu, ingawa n kweli ili taifa liende mbele linahitaji vyama vya upinzani kwa wingi bungen lakini si kwa kumuweka EL awe raisi, EL kwake n segerea tu

Yaani eti kwa sababu lowasa fisadi nirudi kuiamini na kuichagua ccm iliyomlea na ufisadi wake? Ilojaa ufisadi kuenzia kwa balozi, mwenyekiti wa mtaa, diwani , mbunge, mawaziri, hadi aliekuwa waziri mkuu wao lowasa, na nani yule sijui, halafu bado nimchague magufuli? Kama tunataka mtu msafi basi bora tumchague Hashimu rungwe, maaana ye sijawahi kusikia ufisadi wake.
 
Nashangaa kwa nn anagombea wakat ana kashfa

Alishitakiwa na nani kwenye hizo kashfa zenu? Tuliwaambia nchi inaendeshwa kirafiki mkaona tunatania. Leo mwenzenu katumia ujinga wenu mnajitia kumpaka tope. EL ni msafi given kwamba hamkum-Basir Mramba wakati ule!
 
Tunaanza na mkulu, kwa nini alimlea fisadi kiasi hicho jamani? Yaani ameshindwa kumnyonga hadi leo?!!!!!
Hivi tanzania wakisema wananyonga mafisadi si tutanyongwa wote? Kazi ipo kwa mnyongaji sasa yeye sijui atanyongwa na nani? Maana ye ndo atakuwa bonge la lifisadi.

umenena la maana sana mkuu
 
Kweli hiki ni kituko cha mwaka mtu mwenye kashfa anagombania urais, Tanzania tunapaswa kubadilika kuondokana na ujinga huu kiukweli tumepotea, nina uhakika hata majirani zetu watakua wanatucheka kumshabikia mtu ambae ameshiriki katika matukio mengi ya wizi, uporaji wa mali z umma.

Kukusaidia tu, kasome Katiba ya Nchi, ukimaliza soma Sheria za Uchaguzi kuhusu eligibility ya mgombea!
La mwisho, najua nawe ni kati ya Wanaomanishwa kuhusu ufisadi wa Lowassa ila hutaki kufanya homework yako vzuri kujiuliza Ufisadi wenyewe ni upi? Kwa nini hajaunganishwa na kina Mramba na Daniel yona ambao wako gerezani? Yeye ni nani hata ishindikane kushitakiwa badala yake anaendelea kula Pensheni ya Uwaziri Mkuu pamoja na Benefits nyingine zote? Report ya Mwakyembe umeisoma vizuri? Umeona alivyohusika?

Lowassa kafisadi tshs ngapi? Ili tujue mapema maana huyo mnayemwita muadilifu tunajua ni hasara kiasi gani kaisababishia serikali hadi sasa, Bilioni 900 fine kwa Wakandarasi kwa uzembe wa kuwacheleweshea malipo ya kazi, Bilioni 231 za mfuko wa Barabara zimeliwa, Bilioni 3.5 samaki wa Wachina, na bado meli ya wachina tutalipa, hebu soma report mpya ya PPRA uone ufisadi wa hii nchi halafu urudi na majibu!
 
Aisee mimi nakushangaa jinsi povu linavokutoka, utadhani labda Lowassa ndo fisadi peke yake nchini. Tusiende mbali Escrow imepigwa mpaka mukulu anatetea kuwa fedha zile hazikua za umma. Je kwanini hukuanza nae? Je, kwanini baada ya miaka takribani nane sasa ndo unaongelea swala hili? ulikua unasubiri nini kuliongelea kwa kina kiasi hiki mpaka usubiri kipindi hiki cha kampeni kama nawe si njaa tu? Je hawa waliofukuzwa kazi akina Tibaijuka na Muhongo kama kweli mnauchukia ufisadi inakuwaje mnwapa nafasi tena yakugombea nafasi za serikali? Unataka kutuaminisha kwamba ssm mbaya na fisadi ni Lowassa tu? Ndg yangu Watanzania wa leo si wale wazama zile, wameamka na wanajitambua. Lowassa na ukawa ndo chguo letu. Hatudanganyiki.
 
ni kweli china isingemchelewesha lowassa lazima ingempa urais tangu miaka ya tisini
 
wangeanza na kikwete mwenyewe maana ndiyo mmiliki wa richmond,afu angefuata chenge,tibaijuka,ridhione na ngeleja!
 
Fikiria ishu ya escrow ingetokea china tungekuwa na misiba mingapi yaani ninbalaa
 
China Isingekuwa na chama cha Majizi na Mafisadi kama CCM Ukomunisti hauruhusu Kujilimbikizia mali na kuwa na Mfumo wa kinyonyaji hivyo Nusu ya mawaziri wa CCM wangekuwa wamenyongwa....na Mwenyekiti wao pia
 
Fikiria ishu ya escrow ingetokea china tungekuwa na misiba mingapi yaani ninbalaa

Mkuu hao wachina wenyewe wasanii pembe zetu za ndovu zinaishia kwao wamemnyonga nani? Wanavuna gesi yetu mikataba 17 kumuokoa muuza sembe wa bongo shame on
chinese mnawasifia bure hapa
 
Angekuwa kishanyongwa, na watu tushasahau. ila na kwa magufuli watanyoooooka tuuu
 
Ccm imewafukuza wauguzi wasifanye mkutano wao Bukoba hakuna huduma za afya ccm ikirudi itaendelea kuwapiga madactari nchini NA wandishi Siena imani NAyo mageuzi lazima
 
Nashangaa kwa nn anagombea wakat ana kashfa
Namshangaa sana Makufuli kugombea wakati aligawa nyumba za serikali kwa mahawara zake, amelisababishia taifa hasara kubwa kwa kukamata meli ya uvuvi bila ushahidi, kutowalipa makandarasi pesa zao kwa wakati na hivyo kukuwa kwa riba...
 
Back
Top Bottom