Chief wa Wazanaki anapaswa kujiuzulu

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,101
2,716
Nasikia yupo mtu mmoja kule amejitangaza Chief badala ya huyu wa sasa.

Sijui wao wana ugomvi gani,lakini kitedo kile cha Mkuu wa Wilaya kusema kwamba hana ugomvi na mimi na wao kusema kwamba watachukua sheria mikononi mwa mwa wanaodhani huyu Chief wa sasa anapaswa kujiuzulu.

Kwa jinsi nilivyopata matatizo makubwa mara mbili katika kipindi cha wiki tatu, matatizo ambayo yamesababishwa na huyu Chief, nadhani huyu Chief wa sasa anapaswa kujiuzulu.

Kwa jinsi anavyotaka kuhukumu watu bila kufanya kesi, nadhani huyu Chief anapaswa kujiuzulu.
 
Chief umetibuana kwenye ishu gani?

Ungeshaenda kwa Obama ungeepuka haya yote
 
Chief umetibuana kwenye ishu gani?

Ungeshaenda kwa Obama ungeepuka haya yote
Speaking of kwa Obama, Kaka mkubwa mara ya mwisho hapa nilimpa mualiko aje tuangalie Oppenheimer, na mualiko bado upo.

Hao ma chief mshua aliwapiga narufuku, sasa wamerudi vipi?
 
Back
Top Bottom