Chezea st kayumba weye

oduko

Senior Member
Dec 16, 2012
169
56
ST. KAYUMBA SCHOOL OYEEE
.. 'yestaday I saw u at ze maize shop..(jana nilikuona dukani kwa muhindi)

when u saw me u started to six six..(uliponiona ulianza ku-sita sita)

u ran away n decided to plant a car..(ulikimbia na ukaamua kupanda gari)

zen u pot-cry me through da window..(kisha ukanichungulia dirishani)

now sleep down n snake well b4 I cut u a millet..(sasa lala chin ksha nyooka vizuri kabla sijakukata mtama)

hahahaha chezea English wewe,

duh! English ngumu.
 
mkuu umetisha umeyapata wapi haya make nadhani ndio fastjet anakochukulia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom