Cheque ya milion kadhaa

cyruss

Senior Member
Jan 13, 2012
196
40
Nina cheque ya milioni kadhaa imeandikwa jina la bishara ambayo nilinunua kutoka kwa jamaa yangu. Utafiti wangu umegundua hakuna usajili juu ya hiyo kampuni wala account number yake,sasa wadau nitafanyaje kuipata hii pesa kwenye cheki hii.
 
Pesa gani sasa? lol
Hakuna account, so hakuna pesa.
Next time, use protection. lol
 
Kama una uhakika hiyo cheque ni ya kweli, inabidi kwanza usajili hiyo biashara kwa jina hilo lilopo kwenye cheque, halafu fungua account bank kwa same name, baada ya kufanya hivyo deposit hiyo cheque yako. Angalia sana cheque zina expire baadaya ya miezi sina kwahiyo usichelewe.
 
Pole Mkuu, hata hvo ulizembea kidogo kaka, mpaka unanunua kampuni hakuna hata document za kampuni ulizokabidhiwa?...Dah!
 
Nina cheque ya milioni kadhaa imeandikwa jina la bishara ambayo nilinunua kutoka kwa jamaa yangu. Utafiti wangu umegundua hakuna usajili juu ya hiyo kampuni wala account number yake,sasa wadau nitafanyaje kuipata hii pesa kwenye cheki hii.

Unatafuta kifungo jomba.
 
TAREHE ya cheque italeta utata kwani itakuwa kabla ya kampuni kuwepo duniani. Angalia watu wa Financial intelligence unit watakufanya kitu mbaya
 
Mkuu Micha Amemaliza kila kitu.Ni vibaya kukulaumu kwa sasa ila usirudie tena siku nyingine ,kuwa smart kwa kila jambo unalilofanya.
 
Pole Mkuu, hata hvo ulizembea kidogo kaka, mpaka unanunua kampuni hakuna hata document za kampuni ulizokabidhiwa?...Dah!

Mimi na vibali vyangu binafsi vya biashara hiyo na kodi natoa na makato yote ya serikali natoa, THE FACT IS cheque iliyokuja ndo imekuwa imetumia jina la biashara ya mtu aliyeniuzia eneo la biashara aliyetoka, asante Amoeba.
 
TAREHE ya cheque italeta utata kwani itakuwa kabla ya kampuni kuwepo duniani. Angalia watu wa Financial intelligence unit watakufanya kitu mbaya

Wadau hapa vp, ingawaje mi sipo humo kama nilivoeleza hapo kwenye message ya amoeba, kwa kupata maarifa tu wazo la twizamallya imnalionaje?
 
TAREHE ya cheque italeta utata kwani itakuwa kabla ya kampuni kuwepo duniani. Angalia watu wa Financial intelligence unit watakufanya kitu mbaya

Acha wewe hapa ndio Tanzania kampuni itaandikishwa kwa tarehe kabla ya hiyo cheki,ni mpunga tu unatakiwa hapo.
 
Ushauri mwingine mkuu unaweza kuongea na jamaa wa hiyo bank idara ya cheki watakupa mwongozo mzuri tu,kwa Tanzania kila kitu kinawezekana.
 
Nina cheque ya milioni kadhaa imeandikwa jina la bishara ambayo nilinunua kutoka kwa jamaa yangu. Utafiti wangu umegundua hakuna usajili juu ya hiyo kampuni wala account number yake,sasa wadau nitafanyaje kuipata hii pesa kwenye cheki hii.

Hao jamaa waliokuandikia hiyo cheki wanaishi mbinguni au wapi? kama wako bongo hapo hapo, warudie ili warekebishe mambo. Asante kwa kutusaidia na sisi wengine ili kesho tuwe makini.
 
TAREHE ya cheque italeta utata kwani itakuwa kabla ya kampuni kuwepo duniani. Angalia watu wa Financial intelligence unit watakufanya kitu mbaya

ukiandikiwa cheki leo, unaruhusiwa kuichukua kabla ya miezi sita.
Ndio kusema unawaza ukaanza michakato ya kusajili kampuni, kisha ije michakato ya kufungua akaunti, but yote hiyo ifanyike ndani ya miezi Sita toka tarehe ya cheki.
 
kwanza tukubali kwamba huu ni uhalifu,hivyo ni vigumu kwa watu wa benk kujihusisha nao,pili inaweza kushtukiwa kirahisi hasa kama inahusisha kiasi kikubwa cha pesa ambacho kinaweza wafanya wafanye cross check kati ya mlipaji na mlipwaji,kama kiasi ni kidogo ni bora uachane nayo maana itakua haina faida kwa sababu lazima utahonga sana.mimi kama mhasibu naona una chance ndogo sana ya kufanikiwa,kuwa makini kwani hii inaweza kukufunga mara moja
 
Mie ninajua kuna asasi fulan nkiongea nao ukaideposit af uwagee chao ela ikitoka.Kama vp nipe mawasiliano yako au ni pm
 
Mhh mkuu hebu toa maelezo zaidi,asasi udeposit hela itoke?how?du hiyo kali.
 
Back
Top Bottom