Chenge aandaa chakula Bariadi, Magufuli akacha kukila

There are people you can't trust them with your life...JPM is by far smarter than most of us think. Yule nyoka wa makengeza bwana...kama alivyosema mwenyewe.
 
Pumbavu kabisa hapo sio Bariadi ni Meatu stendi ndipo kahutubia maana tulikuwepo. Bariadi ni kesho usifikirie na sisi ni kunguni kama wewe.
 
Kweli ccm imeisha,yaani badala ya basi kuandikwa ccm limeandikwa Magufuli,huyu ni mgombea binafsi?
 
mambo ya chakula hayana mashiko, mambo yenye mashiko ni kwamba kawaambia watu wamchague Chenge awe mbunge wao na amekubali katiba ya Chenge na ndio itakayokuwa dira ya kuliongoza taifa hili pindi akichaguliwa.Na alimnadi yule mgombea wa Morogoro kusini anayehusishwa na bilioni mbili za escrow pia, na anakwenda kumnadi tiba na wengine wotee!!!
sasa kukataa chakula ni nini? kwani bariadi hakuna migahawa??
 
Hapo kuna ishu ya usalama pia. Si unajua kuwa Chenge ni Rafiki Mkuu wa Lowasa? Huenda kuna mtego uliandaliwa. Big up sana Magufuli. Unaongozwa na Nguvu za Mungu

Lizaboni kwa unafiki tu unatisha fisadi chenge mmempitisha alaf mnazuga kumnadi
 
Basi nayeye asile chakula chake sababu Magufuli mwenyew fisadi, kafisad nyumba za serikali na yule mtukana watu wapumbavu.
 
"Watu wa ndani wanasema"....
Uongo wa hivi hua unakera sana
 
Ahaaa mwaka huu ccm Lowasa kawashika hasa.ebu naomba ujibu maswali haya.
1.Tangu Magufuri aanze mikutano ya campaign mikoa kadhaa sasa je Amefika nyumbani mwa.wagombea ubunge wangapi kwa ajili ya kushiriki chakula?Taja jina la mgombea ubunge na jimbo husika.

2.Unasema Magufuri amekataa chakula nyumbani mwa chenge hivyo kashinda na njaa je utaratibu wa chakula cha mgombea chama kimetoa maelekezo mgombea baada ya Kampeni atakuaa anaenda kula kwa mbunge?

Humu kuna watu na akili zao kijana sawa?siku zingine husirudie

Hasirudi au vp,
 
Kama hayuko tayari kushirikiana na mafisadi ahame chama basi ambacho hata mwenye kukalia kiti wake ni fisadi namba moja
 
Pumbavu kabisa hapo sio Bariadi ni Meatu stendi ndipo kahutubia maana tulikuwepo. Bariadi ni kesho usifikirie na sisi ni kunguni kama wewe.

Mbulula mkubwa, Bariadi alipita jana mchana tulikuwepo kama ni picha imekosewa hapo nitakuelewa.
 
Acheni upuuzi wenu yaani kwenye jukwaa kamsifia kwa katiba nzuri na kumuita baba wa mageuzi chakula kina maana gani.Magufuli ni fisadi na mafisadi anawajua anawasifia! ati akatae chakula acheni upuuzi huo!.Nayaona mabadiliko tuondoe mafisadi yote haya
 
Huwezi kumkataza mwanachama kuchukua fomu ya kuomba uongozi.

Vikao vya juu vya chama havikulikata jina la Chenge kwa sababu kwa sasa chama kimeweka utaratibu wa kutowachagulia wanachama/wananchi mgombea.

CCM imepata somo la kutowachagulia wanachama/wananchi mgombea kutokana na makosa yaliyofanyika katika uchaguzi wa 2010 ambapo chama kilipoteza majimbo kama Iringa kwa mtindo huo.

Wananchi ndiyo wataamua kwa sasa baada ya wanachama wenyewe kumpitisha kwenye kura za maoni.

Uyu case yake ni ya ufisadi wananchi walitakiwa wachague mtu mwingine tofauti na yeye yani angeabiwa aache kuchukua form yeye ngereja na tibaijuka hapo kidogo wangenishawishi CCM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom