Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chemsha bongo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaiza, Aug 30, 2012.

 1. Kaiza

  Kaiza Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kupata jibu kwa changamoto hii.
  Nguo inauzwa Sh. 10,000/= na wewe huna pesa ya kununulia nguo hiyo. Ukaamua kukopa pesa kutoka kwa dada yako Sh. 5,000/= na kutoka kwa kaka yako Sh. 5,000/=. Hivyo jumla umekopa Sh. 10,000/=. Ukaenda ukapatana na kuuziwa nguo kwa Sh. 9,700/= na ukarudishiwa Sh. 300/=. Ukaamua kupunguza deni. Ukampa dada yako Sh. 100 na kaka yako pia ukampa Sh. 100/=. Na wewe pia ukabaki na Sh. 100/=. Deni kwa dada ni Sh. 4,900/= na kwa kaka ni Sh. 4,900/=. Ukijumlisha jumla ya deni ni Sh. 9,800/= na ukiongeza Sh. 100 uliyonayo jumla inakuwa ni Sh. 9,900/=. Je Sh. 100/= imekwenda wapi ili kukamilisha Sh. 10,000/=?

  Wana JF naomba jibu.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 42,181
  Likes Received: 4,718
  Trophy Points: 280
  Hili swali limeshaulizwa sijui mara ngapi. Haya Kongosho uje pande hii ujibu swali la marudio la wajina wake Kaizer
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,063
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Hii nayo ni SIASA?
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,546
  Likes Received: 909
  Trophy Points: 280
  Yeah_siasa za mahesabu.
   
 5. doup

  doup JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 773
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  simple
   
Loading...