Ni kitu gani kipo
mara SITA kwa siku
mara NNE kwa wiki
mara MBILI kwa mwezi
mara MOJA kwa mwaka?
Ebwana toa jibu, tutakupiga ban!
Sasa mbona jamaa hajamention mambo ya saa za ukutani, ume2nga swali lakoNyie mnajifanya wajanja ku2miana majibu kwenye sms,coz hilo ni swali la kubuni lazima angelijibu mwenyewe kwanza.