Chemsha Bongo

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Ni kitu gani kipo
mara SITA kwa siku
mara NNE kwa wiki
mara MBILI kwa mwezi
mara MOJA kwa mwaka?
 
Duuuh, nina kikao mara moja ila wakishajibu wengine me nitakuja kusahihisha, si unajua me ndo mwalimu pekee nisiegoma hapa JF
 
kama hakuna hivi; emu ona mara 6 kwa siku, afu mara moja kwa mwaka? kwani mwaka si una-include hiyo siku?
 
mmmmmhhhhhh....
baba hapa ngoja
loading...............
NEGATIVE!!!!!
 
Hii ni namba witiri:
inatokea mara 6 kwa siku katika masaa 24 ya mtindo wa saa ya ukutani yaani
(1),2,(3),4,(5),6,(7),8,(9),10,(11),12
inatokea mara 4 kwa wiki (siku saba) yaani
(1),2,(3),4,(5),6,(7)
inatokea mara 2 tu kwa mwezi, kwenye mwezi kuna wiki 4 tu yaani wiki ya (1), 2, (3) na 4
inatokea mara 1 tu kwa mwaka mmoja yaani (1)
MAMMAMIA am i correct?
 
Nyie mnajifanya wajanja ku2miana majibu kwenye sms,coz hilo ni swali la kubuni lazima angelijibu mwenyewe kwanza.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom