chelsea vs man city

Community shield(zamani Charity shield) hushindanisha bingwa wa EPL(Man City) na bingwa wa FA(Chelsea)......Hiyo ya mshindi wa kwanza na wa pili ni kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara(mwaka huu watacheza Simba na Azam)...

Asante mkuu kwa maelezo mazuri na ya kueleweka. Ubarikiwe.

Tiba
 
Pamoja sana mtani.......Msimu wa maumivu na furaha ndo ushaanza hivyo......

Naona Chelsea washaanza kuelemewa

Hawa wauaji wengine wana majembe hatari...Huyu Yaya Toure sijui kafunga kwa shuti kama lile nina wasiwasi na swaumu yake.

Nasri anafunga kiulaini pale Chelsea wametepeta.
 
Back
Top Bottom