Chelsea na andazi, unachagua nini?!

carnage21

JF-Expert Member
Jan 24, 2023
520
1,257
Chelsea msimu huu ndani ya #epl
FB_IMG_16955812100482840.jpg
 
Nikiiwaza Chelsea KICHWANI zinanijia sura za WAFUATAO......

Peter cech.
Bosingwa.
Ashley cole.
Willium Gallas
John Terry.
Ivanovich.
Esien, obi, makelele. Ballack, ngolo kanute
Malouda, hazard.
Flank lampard.
Didie Drogba.
Mapung'o.
Anelka
 
Ramiles, Oscar,
 
Waache wavune walichopanda. Chanzo cha huu ujinga wote ni ile dhuluma waliyomfanyia mmiliki halali wa timu (Roman Abramovich). Tangu hii timu ilipochukuliwa kwa hila na hao Wamarekani, haijawahi kuwa na matokeo mazuri.

Mimi ni mshabiki wa hii timu, ila sikufurahishwa hata kidogo na kile kitendo alichofanyiwa jamaa kwa kisingizio cha yeye kufungamana na vladimir putin.

Dhambi ya ule unyang'anyi waliomfanyia jamaa iwaandame kwa miaka mingi, ili iwe funzo kwa wapumbavu wengine wenye tabia kama za Uingereza na Marekani.
 
Hongera sana Kaka.

Kwa mala ya kwanza nakuona ukiandika hoja NZITO MNO.

Hakika umeandika KWELI tupu.
 
Waache wavune walichopanda. Chanzo cha huu ujinga wote ni ile dhuluma waliyomfanyia mmiliki halali wa timu (Roman Abramovich). Tangu hii timu ilipochukuliwa kwa hila na hao Wamarekani, haijawahi kuwa na matokeo mazuri.

Mimi ni mshabiki wa hii timu, ila sikufurahishwa hata kidogo na kile kitendo alichofanyiwa jamaa kwa kisingizio cha yeye kufungamana na vladimir putin.

Dhambi ya ule unyang'anyi waliomfanyia jamaa iwaandame kwa miaka mingi, ili iwe funzo kwa wapumbavu wengine wenye tabia kama za Uingereza na Marekani.
Fact mkuu na huo ndo ukweli
Hili ni Chama langu kiukweli huwa navaa jezi siku ambazo hawachezi ili kukwepa aibu mjin mana timu initially hasira na hapohapo inatia huruma yani.
 
Nikiiwaza Chelsea KICHWANI zinanijia sura za WAFUATAO......

Peter cech.
Bosingwa.
Ashley cole.
Willium Gallas
John Terry.
Ivanovich.
Esien, obi, makelele. Ballack, ngolo kanute
Malouda, hazard.
Flank lampard.
Didie Drogba.
Mapung'o.
Anelka
Hawa hata wakirudi leo mwenye veteran game na current squad lazima wapate matokeo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom