teh teh teh teh teh teh ndio mmekimbilia huko sa hivi!?
baada ya kukubunjua 6-0.
sasa roho kwatuu..:bange:
teh teh teh teh teh teh ndio mmekimbilia huko sa hivi!?
Sahauuuuu nitashangilia Chelsea mwaka ujao mzima kama kweli Newcastle akitufunga tukawa wa 3 au mta vote Pazi awe timu gani haitotokea.
baada ya kukubunjua 6-0.
sasa roho kwatuu..:bange:
safi sana..tugawane na maskini.
1) Rafa took over at Chelsea in the middle of the season, yet he went on to win them a European trophy
2) Mourinho took over right from the season outset...he's doomed to finish the season empty handed!
Bloody liar .... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee timu yako inajulikana Loser Fools ... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Maneno ya mkosaji hayo, mgawane na maskini wakati siku hiyo mlimlilia kweli Make Dean.
arsenal fc = 8 yrs without a cup
chelsea fc = 1 yr without a cup.
arsenal fc never won the champions league.
arsenal fc never won the europa league.
arsenal fc just an ordinary team.
mbona unapunguza??ni 9 YEARS.
safi sana..tugawane na maskini.
this is the Mentor i know,sio ukifungwa kidogo unakimbia thanks kwa picha mkuu
ahsante mkuuHongera mkuu Mndengereko; kampeni yako ya kumng'oa David Moyes imezaa matunda.
CFC - FOREVER BLUE.:smile:
.......Jiraniiiiiiiiiii!
hahahaha, nanyi mmeangukia pua mwaka huu!
hatuchekani,.....ddddaaaaadeki!
....It was a great fun and pleasure kutupiana banters za haps na pale,
msimu ndio umekata huu, tukutane tena 2014/2015 season,......au
kwenye makeke ya Transfers, pre seasons nk....
time for a break,....all the best Ntuzu, Peasant, na wan a darajani wooooote,
#MwenyeziMunguAkijaalia , tutakutana tena humu humu,.....
Ameen, Inshaallah!

Mbu Nashukuru sn Mkuu!
Msimu ulikua mzuri Na wakavutia sn!
Niseme tu kwamba nawapenda wanaJf wote wapenzi Wa Soccer! I love you all!
KM kawaida kwenye World cup ntaanzia Africa then tukitolewa wote ndo ntaona niende Wapi!