Tomas tucheltako
Image_1638635340.jpg
 
Umenena vema, mechi ya nyumbu na hii ya leo, Lukaku amekuwa mtumishi hewa. Hope atarudi kwenye ubora wake baada ya injury
Huyo na wener tujiandae kisaikolojia hawaendani na mifumo ya timu zinazopiga pasi fupi fupi Lukaku bila space ni mugalu tu poor touch kwa hiyo injury sio tatizo kubwa tatizo tulimnunua baada ya kukosa option za kwanza
 
Back
Top Bottom