1. Saul asipewe tena hata dk 5
  2. Alonso amedowngrade quality ya Chelsea
  3. Silva ni wa muhimu pale nyuma
  4. Cheek ni mchezaji mzuri ila sio kwa katikati labda kule mbele
  5. Ziyech atulie, ana papara sana hasa kwenye kupasi
  6. Tunazidi kuishiwa option kama kweli Chalobah kaumia
  7. Saul 10 = 1 Barkley
Je Barkley ataiweza hyo nafasi ya CM/ DM Kwa ulinganisho huo ? Maana Barkley ni more Of A CAM nionavyo

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Yani ukiangalia mwezi huu tuna game 9 zimebaki kwa hali hii ya majeruhi kupata matokeo game zote ni ngumu sana halafu bado January kuna big match 3 kama tukiweza kutoboa hapo basi ubingwa wetu
Leo chelsea mnaongea haya!!!
 
The blues
Screenshot_20211202-083608.jpg
 
Kuaibika Ndo Nini,Unadhani Chelsea itamaliza ligi bila kufungwaaa

Eti kuaibika!!!
kufungwa kupo but how you loose the game , kuna match unafungwa lakin watu wanaonyesha kujituma ila match ambayo wachezaji wanacheza hovyo utapigwa goli nyingi ndo ibu yenyewe
 
Alichofanya Havertz kutoa pasi kwa mfungaji (nadhani ni Mount) aliye kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga bao ndicho ambacho Odoi alipaswa kufanya siku ya mechi dhidi ya Man United kwa kumpasia Ziyech aliyekuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga bao. Uchoyo wa Odoi ulitukosesha bao muhimu.
 
Sio hio tu hata game ya burnley, natumai atajifunza kutokana na hayo makosa still anaroom ya kuimprove
 
Alichofanya Havertz kutoa pasi kwa mfungaji (nadhani ni Mount) aliye kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga bao ndicho ambacho Odoi alipaswa kufanya siku ya mechi dhidi ya Man United kwa kumpasia Ziyech aliyekuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga bao. Uchoyo wa Odoi ulitukosesha bao muhimu.
Havertz ni mchezaji anayetumia akili sana tofauti na Odoi anatumia zaidi Physics
 
Wanaongoza ligi na wanaofuatia naona hawapo kwenye list. Hii inaonyesha kuwa Man city na Chelsea hawategemea washambuliaji kwenye kufunga, timu nzima inafunga
Tumefunga goli 43, salah+jota+mane=28. Kwaio goli 15 nyingine zimefungwa na wachezaji wengine wastani mzuri sana.
 
Back
Top Bottom