Mkuu sometimes unajitoa ufahamu. Nafikiri akili yako haijakaa sawa tangu tukuaibishe three times na kuchukua UEFA mbele yako tena ukiwa mzima kabisa.

Chelsea imeshachukua EPL mara mbili mfululizo. Labda kama umeanza kuwngalia mpira msimu wa 2017-sasa. Nenda kagugo uone. Labda nikuambie tu najua huna bando ya kugugo. Msimu wa 2004/2005 na 2005/2006. Chelsea ilichukua Epl two times.

So inatakiwa uwe na adabu unapokuja hapa.

Chelsea imechukua UEFA champion mara mbili Eropa Legue mara 2 Man city yeye kachukua nini
Mtoto.wa juzi huyo

Man City enzi hizo ilikuwa sawa na Norwich city tu kabla hawajaja waarabu
 
Jamani, taarifa rasmi nilizozipata kutoka kwa vyanzo vyangu vya habari ni kwamba rasmi WESTHAM amechukua nafasi ya Manure kwenye mbio za ubingwa 2021/22 kwa sababu tulianza na title cotenders wanne mmoja kachoka baada ya mechi 3 tu
Sasa cotenders wetu ni

  1. Chelsea FC
  2. Man City FC
  3. Liverpool FC
  4. Westham United
Hapo kwa WHU nakubishia, hizo ni fujo tu za mwanzo.
 
We are the champion ....

Kaa kwa kutulia
Yaani wewe unatakiwa kujibiwa hivi
IMG_20211109_230115.jpg
 
Swala sio mahaba na Conte.

Wewe muangalie Conte uwezo wake alafu angalia mafanikio yake ni kocha wa kupambana kushinda mataji sio km kina Ole na Mikael Arteta.

Kwahiyo Conte lazima akae juu.

West Ham haina nguvu sn muda si mrefu itatoka hapo juu!
West Ham haipo hapo kwa kubahatisha

Kwa Spurs haina best players in build up phases, mara nyingi utaona Kane & Son wanafanya majukumu ya kudrop in build up phases kureceive mipira ili kuprogress play, Conte without new signings atahitaji miujiza kuingia top four.
 
Conte anafanya vzr na wachezaji hao hao Kikubwa ni wao kuzoea mfumo pamoja na kujiamini.. Watakapoanza kushinda games watakaa Sawa tu.

West Ham sio timu ya kuamini sn Moyes sio km Conte
 
Mambo yote yaishia uwanjani...

Humu tunakuja kupeana tu salamu hamna jipya...

Tunashinda ila hata hatujidai.

Hivi unadhani jukwaa lenu au la nyumbu ingekuwa ndio mnaongoza ligi lingepoa hivi?
Tatizo nyie humu mumekutana mambumbumbu wa tupu, kwahiyo usitegemee uchambuzi wa soccer, labda muchambue tembele.

Nyie zenu ushambenga tu, ndio maana munaongoza kuzurura majukwaa ya wenzenu.
 
Tatizo nyie humu mumekutana mambumbumbu wa tupu, kwahiyo usitegemee uchambuzi wa soccer, labda muchambue tembele.

Nyie zenu ushambenga tu, ndio maana munaongoza kuzurura majukwaa ya wenzenu.
Kwani wewe hili jukwaa umekuja kufanya nini
 
Tatizo nyie humu mumekutana mambumbumbu wa tupu, kwahiyo usitegemee uchambuzi wa soccer, labda muchambue tembele.

Nyie zenu ushambenga tu, ndio maana munaongoza kuzurura majukwaa ya wenzenu.
Mzee wa LUPATU umerudi Tena baaada ya ase8 kushinda vimechi viwli mfululizo
 
Tatizo nyie humu mumekutana mambumbumbu wa tupu, kwahiyo usitegemee uchambuzi wa soccer, labda muchambue tembele.

Nyie zenu ushambenga tu, ndio maana munaongoza kuzurura majukwaa ya wenzenu.
Taja kwanza jina lako, kabila lako, dini yako, elimu yako na unatokea wapi? ili usaidike kwa urahisi zaidi.
Kama wewe ni Asenga FC au Lipuli FC au Nyumbu United sorry, "This is Stanford Bridge" ukicheza utaangukia majini
Hapa hatuchambui vitu, tunafanya vitu na wewe ukitaka tutakufanya
 
Back
Top Bottom