jamaa wanategemewa kuomba penalty like this
 

Attachments

  • penalt barca.jpg
    penalt barca.jpg
    4.5 KB · Views: 502
Leo naomba The blues washinde,ngoja nilaze watoto mapema.mambo ya kuangalia mechi tamu kama hii huku unarukiwa rukiwa,unajikuta unapitwa.Chel washinde,ila mpira unadunda!
 
Back
Top Bottom